Uchawi kwenye biashara hapa mjini,,,

sosssy

JF-Expert Member
Nov 17, 2017
668
534
habar za muda huu wadau
mko powaaa??

twende kwenye mada sasa

hivi karibuni nimefanikiwa kufungua duka seem fulani chaajabu ni kwamb biashara sio nzur kwa upande wangu while majiran zangu wanauza mnoo

kuna jamaa angu mmoja ameniambia biashara sehem zenye ushindani mkubwa huwa haziendi bila kwenda kwa waganga sas cjuii ni kweli au nivip

walahi naomben ushaulii wandugu please
 
Nisaidie kuniulizia kwa huyo ' Jamaa ' yako kwamba je na haya mambo huwa yapo pia na huko Ulaya / Marekani?
 
Uchawi ni imani kama ilivyo imani zingine, kwa hiyo kama unaamini nenda. Mimi ni mfanya biashara na sijawahi kwenda kutafuta dawa za biashara. Dawa ya biashara ni kutengeneza wateja

asante kwa ushaul mkuu
 
habar za muda huu wadau
mko powaaa??

twende kwenye mada sasa

hivi karibuni nimefanikiwa kufungua duka seem fulani chaajabu ni kwamb biashara sio nzur kwa upande wangu while majiran zangu wanauza mnoo

kuna jamaa angu mmoja ameniambia biashara sehem zenye ushindani mkubwa huwa haziendi bila kwenda kwa waganga sas cjuii ni kweli au nivip

walahi naomben ushaulii wandugu please
Hakuna uchawi...boresha biashara yako na uwe na kauli nzur kwa wateja
 
Sawa biashara ni kutengeneza watega ila ninaweza nikaja na uchawi wangu na kukuchukulia wateja wote. Omba Mungu wako ila sio wa hizi dini za wajanja uchawi upo asilimia 100
 
Jombaaa biashara ni imani..

Na ukitaka ufunge hiyo biashara nenda kwa wachawi...(yaani kodi ya pango ikiisha_.na wewe utakuwa umeisha/umefilisika)

Mtegemee muumba wako tu.
 
kivip mkuu
 
kivip mkuu

Mwenzio yupo kwenye game miaka kibao...wewe unaanza Leo hii na unatarajia utajirike fastaa?

:Mtoto anajifunza kutambaa na baadae anasimama dedee na baadae anaanza kutembea taratibutaratibu'

Hata biashara ni hatua baada ya hatua.!!
 
habar za muda huu wadau
mko powaaa??

twende kwenye mada sasa

hivi karibuni nimefanikiwa kufungua duka seem fulani chaajabu ni kwamb biashara sio nzur kwa upande wangu while majiran zangu wanauza mnoo

kuna jamaa angu mmoja ameniambia biashara sehem zenye ushindani mkubwa huwa haziendi bila kwenda kwa waganga sas cjuii ni kweli au nivip

walahi naomben ushaulii wandugu please
Unakuta jirani ako anakuroga
Trust me nimeyaona haya mambo
 
habar za muda huu wadau
mko powaaa??

twende kwenye mada sasa

hivi karibuni nimefanikiwa kufungua duka seem fulani chaajabu ni kwamb biashara sio nzur kwa upande wangu while majiran zangu wanauza mnoo

kuna jamaa angu mmoja ameniambia biashara sehem zenye ushindani mkubwa huwa haziendi bila kwenda kwa waganga sas cjuii ni kweli au nivip

walahi naomben ushaulii wandugu please
Kama ndo sura yako hiyo mkuu usihangaike kutafuta mchawi,kiufup sura yako inaogopesha wateja....jaribu kuajiri m2 mwenye muonekano
tapatalk_1531516416722.jpeg
 
Back
Top Bottom