Unaumwa au ? Kuna uhusiano gani kati ya komenti yako na uzi wangu?
Nina maana hii:
1.Ni watu wangapi walio Tumia njia hizo?
2. Ipi njia ni bora zaidi ya nyingine?
3. Ipi njia ambayo watu wengi wanaipenda?
4. Ni yepi madhara yatokanayo njia hizo?
5. Kwa kiwango gani madhara yana uwezekano wa kujitokeza?
6. Ni mgawanyo upi unaweza kuelezea matumizi ya hiZo njia kwa kuzingatia kanda, mikoa, wilaya, Kabila n. k??
Nimekuja kuzungumzia suala linalo ikabili jamii ,so nimetumia knowledge yangu ya masuala haya kuwaelimisha watanzania wenzangu
Aliyekwambia majini na mapepo wanahitaji damu nani?
Tarehe maana yake ni : Tarehe/Siku/Mwezi na Mwaka. Nakutakia safari njema kaka.
Sasa ww kama kuwaelimisha unaelimisha kwa kusema dawa ni fulan, sasa hayo matunguli,chale,majin, wayatoe wapi au unataka mpaka wajekwako?
Ndugu yangu mi huyu mganga wa jf hata simuwezi..tena nisiongee mengi asije kuniroga bureeee lolTeh Teh...Mwl Evelyn Salt njoo ummsome mwanafunzi wako.
Vp una dawa ya kumwezesha mtu kuingia peponi bila jah kumwona hata kama alikuwa muovu?
Kwani wanahitaji nini? Pesa?
Sasa ww kama kuwaelimisha unaelimisha kwa kusema dawa ni fulan, sasa hayo matunguli,chale,majin, wayatoe wapi au unataka mpaka wajekwako?