Uchambuzi: Simba yaandika record kubwa Africa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,854
Reaction score
32,657
Record ya goli 2 ndani ya dk chache dk 6'

Katika kupitia makala zangu za kiuchambuzi club ya Simba imefanikiwa kuandika record ya kuwa timu ya kwanza kufungwa goli nyingi (2) kwenye final ndani ya DK 7

Goli la kwanza lilifungwa dk ya 8' .....na goli la pili dk 14' hii kitu tangia mpira wa official uanze Africa Haijawahi tokea kwenye fainali

Record ya dk 90 huku shoot on target 0
Sasa hapa inashangaza....Simba walienda kufanya nn uwanjani si Bora tu wangekimbia kama derby ya mach 8.......yani unaenda uwanjani ...then haulengi goli

NB wachezaji wa Simba wakapimwe akili...
JamiiForums-1493404601.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hili la kukosa shot on target maana yake ni kwamba Berkane wamefanya matumizi ya kipa yasiyo na lazima.

Kwa kifupi hata wangemuacha nje bado simba asingefunga.

Ile mechi Berkane hakuwa na ulazima wa kumchezesha kipa.
 
Naona mechi ijayo ....kipa wa berkane ataingia kushambulia

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu atapimwa ujauzito na kitoto kitakuwa cha simba humo tumboni mwake.
 
Record ya goli 2 ndani ya dk chache dk 6'

Katika kupitia makala zangu za kiuchambuzi club ya Simba imefanikiwa kuandika record ya kuwa timu ya kwanza kufungwa goli nyingi (2) kwenye final ndani ya DK 7

Goli la kwanza lilifungwa dk ya 8' .....na goli la pili dk 14' hii kitu tangia mpira wa official uanze Africa Haijawahi tokea kwenye fainali

Record ya dk 90 huku shoot on target 0
Sasa hapa inashangaza....Simba walienda kufanya nn uwanjani si Bora tu wangekimbia kama derby ya mach 8.......yani unaenda uwanjani ...then haulengi goli

NB wachezaji wa Simba wakapimwe akili...View attachment 3340730

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Saa moja asubuh unadeal na simba?
Hatar sana!
 
Sema nimewakubali Simba wamepiga pesa mara mbili yani siku berkane wanaingiza hela ya kiingilio kule kwao huku Simba aliingiza kiingilio mara mbili Yao
Na Berkane wasiwasitue mashabiki oyah oyah basi Simba ingepiga hela ndefu sana
 
Na uchawi hauvuki bahari

Back
Top Bottom