Uchambuzi: Ni mjinga tu ataamini Simba wata droo au kuifunga Al ahly

Kila nikipita mitandaoni Huwa nacheka sana kuona makolo wakifarijiana Kwamba wataenda semi final there for wamtoe Al ahly hizi ni ndoto za abunwasi ( waste of time)

Yaani timu inayoshika nafasi ya tatu ndio ikamtoe Al ahly bingwa wa Egypt???? ...tuache utani kabisa....

Kwa defense mbovu ya. Simba tegemea kuwa Percy Tau ataondoka na magoli sio chini ya 5 then bado yule mchezaji mwenye manywele nae atapiga 3

Nb: kama tu Yanga ( bingwa) alisumbuliwa na Al ahly.....Je huyu mshindi wa 3 ( kolo) ....sindo atakula kichapo Cha 8-0 ...then taifa litaaibishwa View attachment 2942322
Aaahaaa
 
Watz mko serious sana na mpira wa simba na yanga ila mambo ya msingi katika maisha wala hamjadili.Nchi hii mambo ya hovyo hovyo ndio mengi.
 
Watz mko serious sana na mpira wa simba na yanga ila mambo ya msingi katika maisha wala hamjadili.Nchi hii mambo ya hovyo hovyo ndio mengi.
Kama yapi mkuu....mbona nchi Iko shwari .... tunaishi peacefully

Tunachakata kimasihara....so unataka nini kingine
 
Mashabiki wa Yanga ni wajinga sana,hawajui mpira unadunda,hiyo hiyo Simba mbovu ilicheza na Al Ahly African football cup ikatoka 2-2 dar na kutoka 1-1 Misri na ilikuwa kama hii, hiyo hiyo Yanga ilicheza na makundi na Al Ahly wakatoka 1-1 Dar na kufungwa Misri.
 
Je Simba wlimtoa Al ahly
 
Back
Top Bottom