Uchambuzi kuhusu ugonjwa wa corona

Uchambuzi kuhusu ugonjwa wa corona

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,392
Reaction score
7,863
Corona ni aina ya virus anaeshambulia mfumo wa hewa. Ni ugonjwa unaosumbua dunia na mpaka sasa hakuna njia yenye uwakika kwa asilimia Mia ambayo imejulikana kuwa inaweza kupambana na tatizo hilo.

Ugonjwa huu kwa asilimia 70, unaathiri au kuleta madhara Sana kwa wazee, hususa wanaopatikana katika mazingira ya ubaridi.

Kisayansi, gas (hewa) Uganda kwenye ubaridi na baridi linapozidi utoa maji. Hivyo watu wanaoishi katika mazingira ya ubaridi wao upumua kwa kuvuta na kutoa hewa nzito tofauti na watu wanaoishi katika mazingira yay joto kwani joto uyeyusha hewa na kuifanya kuwa nyepesi.

Hivyo hewa ikiwa nyepesi ata ukiwa na matatizo ya mfumo wa upumuaji kwa asilimia kadhaa utaweza kumudu na kukaa Sawa pindi unajitibu. Pia ukiwa katika hewa nzito hii itapelekea kushindwa kupumua au kumudu hali hiyo pindi unapopata tatizo katika mfumo Wa upumuaji.

N.b
Watu ambao mnakaa kanda za baridi tengenezeni mazingira ya joto salama kwa ajiri ya kutengeneza mzunguko wa hewa.
Pia Rai yangu kwa Serikali watengeneze mfumo wa joto salama katika hodi za wagonjwa wa corona. Hii itapeleka kupunguza milgram ya hewa inayozunguka na hii itapunguzia ugumu wa uvutaji wa hewa.

FB_IMG_1628280892236.jpg
 
Back
Top Bottom