L Launoni Member Joined Mar 8, 2006 Posts 21 Reaction score 0 Nov 2, 2010 #1 Waungwana nawasalimu kwanza asubui hii! Natafuta bendera za vyama vya upinzani nataka niwaandalie zawadi fulani naombeni mwenye bendera ya chama anirushieni jamani. Niwatakie asubui njema:israel:
Waungwana nawasalimu kwanza asubui hii! Natafuta bendera za vyama vya upinzani nataka niwaandalie zawadi fulani naombeni mwenye bendera ya chama anirushieni jamani. Niwatakie asubui njema:israel: