Unapoleta hoja mezani usidhani hili ni kusanyiko la mazuzu, tupe vifungu vya kisheria na kikatiba vya Zanzibar vinavyompa Jecha mamlaka ya kufuta uchaguzi kabla haujaendelea kujambajamba."LIPUMBA: Ni Shein pekee anayeweza kumaliza utata wa uchaguzi Z'Bar" limeripoti gazeti la MWANANCHI, Alhamisi, Desemba 31, 2015. Gazeti hilo limeongeza likimnukuu Lipumba kwamba "... Dk Shein ndiye anayeweza kuifanya Zanzibar iwe na amani au vurugu, ninashauri arihusu kutangazwa kwa matokeo."
Pamoja na kuamini kwamba Prof Lipumba ana nia nzuri na ushauri wake una uzito kiasi fulani, ni vyema kuzingatia yafuatayo:
1) Mwenyekiti wa ZEC, Jecha Salim Jecha, alitoa kasoro kadhaa zilizobainishwa wakati wa kupiga kura, zilizomfanya atumie madaraka yake kisheria kufuta huo uchaguzi. Kasoro hizo zirejewe, moja baada ya moja, kukamilisha uhakika wake na kutafuta suluhisho la kudumu.
2) Kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi uliopita, ni budi kila kura za kituo cha uchaguzi zihesabiwe upya na kuhakikiwa kwa kutumia kitabu cha wapiga kura. Hili litabainisha kura halali zitazowekwa kwenye hesabu.
3) Zoezi la kurejea uhesabuji wa kura hizo, liundiwe tume huru.
4) Vyama vyote vikubaliane na matokeo hayo.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
"LIPUMBA: Ni Shein pekee anayeweza kumaliza utata wa uchaguzi Z'Bar" limeripoti gazeti la MWANANCHI, Alhamisi, Desemba 31, 2015. Gazeti hilo limeongeza likimnukuu Lipumba kwamba "... Dk Shein ndiye anayeweza kuifanya Zanzibar iwe na amani au vurugu, ninashauri arihusu kutangazwa kwa matokeo."

Hii ya Rais Magufuli kushauri uchaguzi kurudiwa Balozi Idd amejikanganya kweli. Kila kukicha taarifa mpya za kuwachanganya Wanzanzibari.Nimemsikia makamu wa pili wa Zanzibar Sefu Bakari muda mfupi uliopita kupitia channel 10 akiendeleza commedy zao za kiccm.
Amejicontradict kupita kiasi.
Kwanza akaeleza kuwa hajui kitu gani ambacho Rais Magufuli alichoongea na Dr Mohamed Shein na Maalim Seif, alipokutana nao kwa nyakati tofauti.
Lakini kwenye kikao hicho hicho na hao waandishi wa habari akaeleza kuwa eti Rais Magufuli amewaelekeza Dr Shein na Maalim Seif kuwa solution pekee ya Zanzibar ni kuitishwa upya kwa uchaguzi huo uliofutwa na Jecha!
Kwa kweli wahafidhina wa CCM huko Zanzibar wamefikia kiwango cha juu kabisa cha kuweweseka!
Wazanzibar tumieni busara , hata kama serikali ilikosea kufuta uchaguzi , haiwezekani ikarudi nyuma na kusema sasa tunatangaza kuwa uchaguzi umeisha tunatangaza MaalimuZanzibar wamtangaze tu Maalim Seif kuwa rais wa zanzibar, zec isipotoshe democracy!
Kuna mtu aliwahi kusema JamiiForums ni kipimo cha IQ ya wa tz. Hivi unataka uhakiki wa nini wakati unaambiwa kila siku hapa kuwa hakuna wakala aliyejaza fomu ya malalamiko kuonyesha kasoro kituoni. Kajipange upya.
Mbona umezungumzia hoja moja nilitoa! Hadi sasa si upinzani au Seif mwenyewe amekosoa kasoro zilizotajwa na Mwenyekiti kwa ushahidi. Uchaguzi unarudiwa kwa kuwa hakuba hoja pintamizi za kukanusha kasoro za uchaguzi.
TAFAKARI CHUKUA HATUA