Uchaguzi Zanzibar

Hii nchi tuipe uhuru wao. Ngosha alishasema uchaguzi umekwisha.....! Hamuoni alishajitoa ktk hiyo nchi ya watu. Hayamuhusu.
 
Naiona Zanzbar juu ya bahari !!!
Nani anajali ??
Inashangaza hats viongozi wa dini wanathubutu kushabikia kinachoendelea !!

Ukitaka kuisemea zanzibar

Usiangalie/faida
madhara ya kurudia Uchaguzi Bali

angalia Maana ya kurudia
uchaguzi inaacha alama

gani huko tuendako kwa vizazi vijavyo ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…