GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Nliwah kusema hapo nyuma kuhusu suala la uchaguzi wa zanzibar nlisema kuwa kama chama pinzani kingeshinda ungerudiwa. na ilitokea. nikaja nikasema hakukuwa na haja ya majadiliano mara lilipozuka suala la kurudiwa uchaguzi kwa kuwa kama ccm walishasema utarudiwa then utarudiwa period. yaani hamna tiba mbadala. na ni kweli zilieonekana heka heka nyingi lakini mwisho wa siku likabaki jambo moja kuwa uchaguzi unarudiwa.
Leo napenda niwatoe khofu wazanzibar pamoja na wazanzibara. uchaguzi utafanyika kwa amani kabisa na watu watapiga kura zao kama kawaida na mshindi atatangazwa. na hili haliihitaji uwe na majini au elimu ya nyota kutabiri au pia Mungu akupe maono. lipo wazi kuwa ccm wamejipanga vizuri sana na walijiandaa vizuri hivyo wanastahili ushindi kwa kishindo. kura zitakapotangazwa na maalim seif pia au mgombea wa CUF atatangazwa amepata kura ngapi ingawa atakuwa amezidiwa na yule wa ccm.
wananchi msiwe na mashaka hali ya utulivu ipo na itaendelea kuwepo kuna vyombo vya usalama kwa ajili ya kutunza utulivu au amani visiwani humo. nawatakia wazanzibar maisha mema.