Mkuu,Nimesikia Jecha anasema uchaguzi unarudiwa March
na hakutakuwa na mikutano ya kampeni.....hadi siku ya uchaguzi..
nimejiuliza au sijaelewa?nimesikia vibaya?
kuna mtu anaweza saidia ufafanuzi?
au kuweka clip hapa?
na sheria zikoje?
Hivi hakuna sheria zinazoainisha kwamba endapo msimamizi wa uchaguzi ikijulikana amefuta matokeo kwa manufaa yake mwenyewe aadhabiwe? Maana huku ni kulitia taifa hasaraMkuu,
Pitia SHERIA ZA UCHAGUZI, NAMBA 11 YA 1984. KANUNI ZA UCHAGUZI [Chini ya kifungu Cha 130 (1)]. Inaweza kukusaidia kuelewa Mamlaka makubwa aliyepewa Msimamizi/Mwenyekiti wa Uchaguzi.
Mkuu,
Pitia SHERIA ZA UCHAGUZI, NAMBA 11 YA 1984. KANUNI ZA UCHAGUZI [Chini ya kifungu Cha 130 (1)]. Inaweza kukusaidia kuelewa Mamlaka makubwa aliyepewa Msimamizi/Mwenyekiti wa Uchaguzi.
Katika pitia pitia zangu katika hizo kanuni na vipengele vya sheria ya Uchaguzi sijaona kipengele kilichombana Msimamizi wa Uchaguzi, Bali vipengele vingi vimempa mamlaka makubwa katika maamuzi kwenye uchaguzi.Hivi hakuna sheria zinazoainisha kwamba endapo msimamizi wa uchaguzi ikijulikana amefuta matokeo kwa manufaa yake mwenyewe aadhabiwe? Maana huku ni kulitia taifa hasara
Nimesikia Jecha anasema uchaguzi unarudiwa March
na hakutakuwa na mikutano ya kampeni.....hadi siku ya uchaguzi..
nimejiuliza au sijaelewa?nimesikia vibaya?
kuna mtu anaweza saidia ufafanuzi?
au kuweka clip hapa?
na sheria zikoje?
Why tunang'ang'ania huu muungano hata sijui
kama hawautaki si tuwaache waende?
Wazanzibari wanawezana wenyewe tu
HakikaHaya yanayofanyika Zanzibar hadi shetani anashangaa.....
Kampeni za uchaguzi upi? Bado mnaendeleza upuuzi kutambua kampeni za uchaguzi uliofutwa lakini matokeo hamyataki. Chaguzi ndogo zote za 2015 zilizorudiwa zilitengewa mda wa kampeni, why not for this one?Kampeni zilishafanyika na zikakamilika kwa muda uliokuwa umepangwa, sasa wewe unataka zingine za nini?
Hizi ni habari za kukaririshwa mkuu. Mambo ya kiusalama ilikuwa zamani wimbi la kupindua serikali lilivyoshamiri, siku hizi hamna hiyo kitu. Muungano ni wa wananchi tuwape wao waamue wanautaka au hautaki. Kama hawataki basi tuuvunje.labda kwa sababu za kiusalama. Kuna jicho linaona tusichoona. Maana ni mtihani. Na kwa udogo wa Zanzibar wakishikana mashati ni kama kule Burundi...hatutakuwa salama
Hizi ni habari za kukaririshwa mkuu. Mambo ya kiusalama ilikuwa zamani wimbi la kupindua serikali lilivyoshamiri, siku hizi hamna hiyo kitu. Muungano ni wa wananchi tuwape wao waamue wanautaka au hautaki. Kama hawataki basi tuuvunje.