uchaguzi wa mameya na wenyeviti wa halmashauri unaoendekea

Iruru

JF-Expert Member
Jan 27, 2014
1,471
2,889
Nauliza tu mnisaidie; hivi hii ikoje, baada ya uchaguzi wa kumpata meya ama mwenyekiti wa halmashauri kupita, je unaweza kupingwa mahakamani kama kuna ushaidi wa kuvunjwa ama kukiukwa kwa sheria?
 
Back
Top Bottom