Uchaguzi umeisha, Ila...

shirikisha ubongo kidogo sometimes
Onyesha remorse, na regret for the dead, utawezaje kudhihaki wafu? Hivyo ndivyo uivyofunzwa, Usiona umejificha kwenye proxy na hiyo avatar, yote ni hapa hapa duniani. Low ethical standards
 
Umeazunguka kote lakin umeshindwa ku address mzizi wa tatizo

Niko against uharibifu wa mali lakini bado
Nasisitiza mtanzania mpaka anatoa barabarani haikuwa bure

Malalamiko, voices hazikusikilizwa kwa muda outcome ni pressure ,ime pile for how too long, now wakaachoa

Other external forces zina paly part ndogo sana
 
Ishi maisha marefu Samia,wazalendo wa kwel tuko pamoja na wewe
No mzalendo wa kweli yupo na huko. Only chawa
Defenition ya uzalendo haisemi usimame na utawala hata kama unaharibu au una misbehave
Mm ni mzalendo kwa nchi yangu but si kwa watawala
 
Onyesha remorse, na regret for the dead, utawezaje kudhihaki wafu? Hivyo ndivyo uivyofunzwa, Usiona umejificha kwenye proxy na hiyo avatar, yote ni hapa hapa duniani. Low ethical standards
amna anaefurahia death, however what were you expecting unashindana na dola? you were ready for it

lakini pia unajua ni wangap wameharibiwa biashara zao kwa sababu yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…