Chaguzi uliovurugika jana saa saba mchana leo pia utavurugika tena kwa vile tume ya uchaguzi imeondoa jina moja bila kuuarifu umma .pia kituko kitaonekana pale ambapo kijana mmoja bashe atakapo pigwa chini na mdada pindi uchaguzi ukifanyika jana kijana huyu alitoka social akaja education kuendea na kampeni za siri huku wapambe wake wakishidwa kunuaa wanaharakati wa ngokisi kijana mmoja alisema hivi kumpa bashe uongozi ni kujiuza kwa rostam pia wameshidwa kufanikiwa kutenda haki kwa kumtoa aliye ongoza kwa marks na kuwateu bashe ,regina, mwasige ambaye wamemtoa wakisema hana vigezo
empty minded boys and girls we dont choose leaders by their skin color. WE LOOK AT THEIR QUALITIESule uchaguzi wa serekali ya wanafunzi udom umemalizika huku bwana abubakari bashe akikimbizwa na mdada .sasa hivi chuo cha elimu dada anaongoza kila kituo vijana wanasema kuwa hukuna kutawaliwa na ngozi nyeupe tumpe mwafrika nawasilisha
MADNESS... Tunachagua kiongozi kwa uwezo wake wa kuongoza siyo rangi, dini, jinsia, kabila etc. Mirembe ndhani ni karibu kutokea hapo ulipo.ule uchaguzi wa serekali ya wanafunzi udom umemalizika huku bwana abubakari bashe akikimbizwa na mdada .sasa hivi chuo cha elimu dada anaongoza kila kituo vijana wanasema kuwa hukuna kutawaliwa na ngozi nyeupe tumpe mwafrika nawasilisha
Nibaada ya kindumbwendumbwe cha uchaguzi wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha DODOMA (UDOM), uchaguzi ulofanyika leo tarehe 7 may 2011 licha ya kuhailishwa jana
baada ya dosari zilizo husisha kukosekana kwa baadhi ya majina ya wagombea, na tume kutohaminika uchaguzi ulihailishwa na kufanyika leo juma pili. hali ya uchaguzi ilikuwa tulivu,zoezi liliendelea vizuri likisimamiwa na mwenyekiti wa tume mr Asali Issa (BAED 3rd year). mwanadada pekee kwa jina la DEBORA, amejinyakulia ushindi wa kura nyingi sana akimuangusha asimu wake BASHE (kura rasimi hazija tangazwa). BASHE alionekana kukosa mvuto baada ya kujulikana ana undugu na BASHE wa TABORA aliyesimamishwa na ROSTAM. hali ya wanafunzi ni chereko, wakishangilia ushindi mkubwa si wanawake tu hata wanaume. sura ya kisiasa inaonesha udini umesababisha mabo kuwa kama hivi akwani yalisikika na baada ya uchaguzi wanachuo walionekana kushangilia YESU YESU YESU AMESHINDA. habari zaidi ndugu wasomaji zitazidi kuwafikia kadiri tunavyo zipata.
hp chama cha kidin kilimsaidia ndomana wakajisaau na kaulimbiu ya yesu,makaburu WEngi bado tz, tofauti yao na WALE wa sauz ni rangi tu bt wOTE MAKABURU TU