Uchaguzi serikali za mitaa mji mdogo USA River

Uchaguzi serikali za mitaa mji mdogo USA River

Sakka

Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
22
Reaction score
2
Habari zilizonifikia hivi punde, kutakua na uchaguzi wa serikali za mitaa mji mdogo USA River, tulifanya uchaguzi hapa mwaka 2012 kwa maana hiyo tutakua tumekaa miaka mitatu tu badala ya mitano, wamefanya hivyo kwa kustukiza ili waweze kuchukua mji kutoka kwa CHADEMA, lakini watakua wamebugi!
 
habari zilizonifikia hivi punde ,kutakua na uchaguzi wa serekali za mitaa mji mdogo usa river,tulifanya uchaguzi hapa mwaka 2012 kwa maanahiyo tutakua tumekaa miaka mi 3 tuu badala ya mitano,wamefanya hivyo kwa kustukiza ili waweze kuchukua mji kutoka kwa chadema,lakini watakua wamebugi!

mbona gafla namna ii?
 
Usariver matokeo ni cdm 6 ccm 3 sijui wataweza kurudisha
 
Back
Top Bottom