Uchaguzi mkuu wa BAVICHA Taifa

Uchaguzi mkuu wa BAVICHA Taifa

Theotim

Senior Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
112
Reaction score
9
Wapendwa wana harakati wa chama cha demokrasiabna maedndeleo(CHADEMA),Ni nini mtazamo wako kuhusiana na u chaguzi wa BAVICHA-Taifa kesho 10/9/2014 live kutoka Mlimani city ambapo wapo vijana kibao wanawania nafasi mbalimbali. BAVICHA ni mhimili mkubwa kwa chama.
 
Binafsi namuombea dua Pendo Peneza ushindi ktk kampeni zake.
 
Wapendwa wana harakati wa chama cha demokrasiabna maedndeleo(CDM)Ni nini mtazamo wako kuhusiana na u chaguzi wa bavicha-Taifa kesho 10/9/2014 live from Mlimani city ambapo wapo vijana kibao ambao wana wania nafasi mbalimbali Maana bavicha ni mhimili mkubwa kwa chama
Nimeona,kuna kicheche mmoja tena member wa jf,nae anagombea.... Keshamaliza midume humu sasa kahamiA kwa wapiga kura
 
..jamani yule bint peneza angefaa kuwa mwenyekiti, na akishindwa bavicha wampe kitengo cha uhamasishaji! Lakini pia wagombea wote watakaokosa nafasi ile wakubali kushindwa na wapewe nafasi mbalimbali ndani ya bavicha na chama kiujumla ili kukitumikia chama!
 
Yoyote anaweza kuwa zaid naujua uwezo wa Nanyaro binafsi namuunga mkono
 
..jamani yule bint peneza angefaa kuwa mwenyekiti, na akishindwa bavicha wampe kitengo cha uhamasishaji! Lakini pia wagombea wote watakaokosa nafasi ile wakubali kushindwa na wapewe nafasi mbalimbali ndani ya bavicha na chama kiujumla ili kukitumikia chama!

Suburi aikose ,ndio umjue nahisi haumjui
 
Vijana watatuchagulia kiongozi bora, naamini uchaguzi huu utawashangaza wengi kwa maamuzi watakayoyafanya vijana. Vijana ndiyo tumaini la nchi hii, imani yangu hawatafanya makosa katika kuchagua
 
Mungu atangulie uchaguzi huu wale wote wenye hila za intarahamwe washindwe
 
Pascal patrobas hili ni pandikizi nitakalolipinga mwanzo mwisho kwa wengine sina mashaka.
 
Huyu Pascal Patrobas ndiye aliyeharibu uchaguzi wa mwenyekiti mara,aliahidiwa na kundi la Heche,Matiko na King Haile kwamba yeye kama mwanasheria ahakikishe safu yao inashinda na pindi itakaposhinda wao pia watahakikisha anapata uenyekiti wa bavicha.Huu ni upumbavu wakaja na pingamizi kwamba Waitara ndiye MM2 ili wamuue kisiasa na Heche aweze kusimamishwa jimbo la tarime 2015
 
Pascal Patrobas akishinda basi itakuwa ni anguko kubwa katika sekta yetu ya vijana ndani ya chama
 
Huo uchaguzi ni changa la macho. Mwenyekiti ameshateuliwa na Mtei siku nyingi.
 
Watakaoshindwa wasikubali, wakate rufaa, hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom