msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,738
Leo nimeitafakari tena kauli ya kijana wangu aloniambia miezi kadhaa iliyopita kuhusu tashwishwi yake ya kupiga Kura kwenye uchanguzi ujao,
Kwa sasa Adul and umri wa miak 15 na anahamu kweli kweli ya kupiga kura kuchagua viongozi wa nchi hii sijui nini motive yake ila nikimtazama machoni naona anawakilisha vijana wengi sana wenye umri kama wake ambao watakua wapiga kura mwaka 2020.
Tofauti na sisi wazazi, kaka, dada zao ambao baadhi yao ndio'' hivyo tena''na hasa bibi na bubu zao ambao kwa mwaka huo itabidi washikwe mkono kwenda kwenye ballot box ( kama wakiwa hai) vijana hawa watakua wengine kabisa na sidhani kama kale ka wimbo ka ' wacha waisome namba eeee ...... mbele kwa mbeleeeeeee!!!! wataweza kuimba chorus zake. na ikitokea wakawa tofauti yaani wakawa hawasomeki, hawataki kuisoma namba tena sijui itakuwaje!!! ndio maana nasema Mola jaalia tuanze kuwafikiria hawa ili tusije pata mstituko!!
Naiona mende ikidodonsha kabati, tuwekeze kwa vijana hawa!! wakati ni huu