Uchaguzi mdogo kesho taarifa...

Mkutano wa ccm ambao wamefunga kampeni hadi aibu askari ndo walikuwa wamejazana zaidi kuliko raia yaan nimefanya kuhesab haraka2 n kama watu 30 ndo wamehudhuria.

mpaka nawaonea wivu, nyie kwel mko serious na mabadiakiko pia nia ya kuizika ccm, kila la kheri makamanda
 
Ndesa amefungia kampeni kiboriloni sokoni,dogo janja mbunge wa Arumeru amefunika sana akamaliza kuhutubia akaenda arusha,Ndesa kasema kama ccm wanajivunia mgombea wao ni mzuri basi wammepeleke Mombasa.

Allaa! kumbe desapesa siku hizi basha!!
 
Njombe mjini hapa habari ya mjini Chadema.Magamba chali
 
Lindeni kura wadau mliopo huko mikoani chhadema hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…