mihadarati
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 268
- 74
Nasikia mgombea wa ccm kata ya kiboroloni amejitoa chanzo chadema diaspora facebook page
Hapana mgombea ccm hajajotoa na Naibu waziri wa tamisemi aggrey mwanri ndo anahutubia mkutano wa ccm hapa lucy kiborlon
leo ametoa vitisho gani aisee ?
Kama kawaida yake leo amebwabwaja tu na kuendelea kisema kuwa ushindi kwa ccm lazima,lakini leo amekuwa kama amefungua kanisa na kunukuu vifungu vya biblia kuwahadaa wananchi
Hahahahahaha!!!amekuwa mchungaji ghafla!!!!anataka wananchi wamwonee huruma labda!!!!!wapi ndesa pesa kahitimishia wapi!!!???
Ndesa amefungia kampeni kiboriloni sokoni,dogo janja mbunge wa Arumeru amefunika sana akamaliza kuhutubia akaenda arusha,Ndesa kasema kama ccm wanajivunia mgombea wao ni mzuri basi wammepeleke Mombasa.
ccm imeshakufa wamebakia hawa masalia chadema kesho kata 23 lazma ushindi
akaliwe kiboga.
Ndesa amefungia kampeni kiboriloni sokoni,dogo janja mbunge wa Arumeru amefunika sana akamaliza kuhutubia akaenda arusha,Ndesa kasema kama ccm wanajivunia mgombea wao ni mzuri basi wammepeleke Mombasa.
Mkutano wa ccm ambao wamefunga kampeni hadi aibu askari ndo walikuwa wamejazana zaidi kuliko raia yaan nimefanya kuhesab haraka2 n kama watu 30 ndo wamehudhuria.