Wananchi wa jimbo la kalenga tunawatakia lalasalama katika uchuaguzi mnaotarajia kufanya mwishioni mwa wiki hii.
Lakini maombi yetu kwenu ni kuchagua mbunge bora na si mbunge mzigo kwa manufaa ya maendeleo ya watu wa kalenga na tanzania kwa ujumla.
The gambaz vichwa vyenu vimejiuzuru kabisa kufanya shughuli ya kuchuja mambo, nitawatendea hai nisema kuwa mna vichwa vya kichina, uongozi siku hizi mnarithishana? halafu utayasikia " ndugu wananchi, tunaendelea kumuenzi mwalimu"!