kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,736
secta ya habari nchini tanzania inazidi kukua kila siku.
safari hii,kituo kikubwa cha runinga chenye makao yake makuu jijini dar es salaam,kimetuma reporter maaulum wa kuripoti yanayojiri katika uchaguzi nchini kenya.
mtangazaji mahiri wa Azam TV,mwanadada Ivona Kamuntu alipokuwa anafanya mahojiano na watu mbalimbali jijini nairobi mapema leo.
NB:watani zetu najua mtatoa povu maana mlishawahi kulalamika eti watz wanafatilia sana masuala "yenyu".
sisi wala hatujari,HAPA KAZI TU.