Uchaguzi jimbo la Chambani

Uchaguzi jimbo la Chambani

hopaje

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
1,726
Reaction score
1,218
Nimeona ITV wakitangaza uchaguzi jimbo la Chambani na kata 21 ila sijaelewa hizi kata na bara au??Kama kuna mdau kaelewa vizuri atupe details.
 
nami nimeskia mkuu, but sijafahamu hizo kata ni zipi, nadhani wadau wanakuja kutuwekea list.. karibuni wadau tupate hiyo list, maana uchaguzi utakuwa juni 10 kama sijakosea.
 
Back
Top Bottom