Unamaanisha CCM wameshashinda uchaguzi Arumeru kwa kutumia pesa za mikopo ya masomo ya vyuo vikuu? au sio?
Janja hii ilitumika hata Udom last election---chuo chenye idadi kubwa
wanachelewesha kufungua kwa visingizio kadhaa kuwatwist akili lakini ukweli ni kuwa wanapunguza idadi ya wapiga kura wa upinzani kwani wanachuo wengi wamejiandikisha vituo vyao ikiwa ni chuoni na kwakuwa wengi ni damu changa wanamageuzi ni mwiba kwa chama tawala.AMINI
Inaweza kuwa kweli. Nachojua CCM wanahangaika kuhakikisha kwamba vyuo vikuu vya Arumeru winafungwa wakati wa uchaguzi. Wanafunzi wote hawaipigii kura CCM.
katusemea wengi kijana
Janja hii ilitumika hata UDOM last election---chuo chenye idadi kubwa
wanachelewesha kufungua kwa visingizio kadhaa kuwatwist akili lakini ukweli ni kuwa wanapunguza idadi ya wapiga kura wa upinzani kwani wanachuo wengi wamejiandikisha vituo vyao ikiwa ni chuoni na kwakuwa wengi ni damu changa wanamageuzi ni mwiba kwa chama tawala.AMINI
kaka udsm tunafungua j3, sijui hizo taarifa zako umezitoa wapi? sisi hatujatangaziwa kama tarehe yakufungua imebadilishwa au wewe mkandala
una akili sana wewe.heri umemuumbua mchawi na ndumba zakekaka udsm tunafungua j3, sijui hizo taarifa zako umezitoa wapi? sisi hatujatangaziwa kama tarehe yakufungua imebadilishwa au wewe mkandala
Serikalini hatuna viongozi kwa sasa kwani karibia wote wanafikiri kwa kutumia masaburi,mimi naamini hii post ni ya kweli.