Uchaguzi 2015...

Wataweza kukishinda Kweli chama Twawala? Ninaona hao nguvu yao ni hii hapa nguvu ya kitumbuwa.........


Japo si mdau mkubwa wa siasa ila naona kwa umoja huo wanaeza kuwa na nguvu kubwa kulinganisha na chama tawala..
NCCR,CUF na CHADEMA ukitaja wapinzani Tanzania unawataja wao.Tusubiri ila umoja ni nguvu.Tusubiri tutaona kwenye uchanguzi wa mitaa kwanza.Ila si wa kupuuzwa
 
Kama hakuna unafiki au zimwi ccm wakifeli kuwavuruga naamini kuna kitu hata hivyo wamejitahidi kuonesha jambo jipya kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…