Uchaguzi 2015 na Hatima ya CCM

Ni ukweli watu hawajitumi kufanya kazi inavyotakiwa.na tatizo kubwa ni hao wanaoitwa wakuu wa idara hawajibiki ipasavyo na kansa hii ni hadi makatibu wakuu hakuna ufuatiliaji ni tofauti na makampuni binafsi jaribu kucheza na kazi usikie mziki wake.serikalini ni tofauti hili ndilo lishugulikiwe
 

Waambie wajenge chama sio serikali nani atawapigia kura hawa wapuuzi na wajinga waliofikia kikomo cha kutokufikiria?
 
Waambie wajenge chama sio serikali nani atawapigia kura hawa wapuuzi na wajinga waliofikia kikomo cha kutokufikiria?

Tatizo la Tanzania nafikiri linaanzia ktk uteuwaji, wanateuana kwa kuelewana ndio maana hawawajibiki. Magufuli inabidi alete mabadiliko ya kweli hizo kazi za ukatibu mkuu na idara zishindanishwe kwa CV zikiendana na interview. Vinginevyo atakwama tu. Watu wakati wa kazi unakuta yupo posta anatembea kwa kujinyonga, ama ofsni amekazana kuuza mayai ya KWARE ama anahudumia kuku wakati wa kazi.

Barabara inakuwa je zinakuwa na jam wakati wa kazi? Hii inamaana wafanyakazi wengi wanakuwa wamo barabarani wanapiga madili.
 

msubirie atakapo chaguliwa kuwa waziri wa barabara huko chato ndio uumpe mawazo hayo
 

Matatizo makubwa yaliyopo Tanzania ni Maradhi,Ujinga,Umaskini,na Rushwa suala ambalo CCM inahusika.Kwa kuirudisha Magufuli ni kuirudisha CCM ile ile ye miaka yote.Magufuli hawezi kamwe kuibadili CCM bali CCM itambadili na kumtuliza kabisa.
 


Mna Moyo! Naona mmekuja kwa style mpya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…