Katika uchaguzi huu, nafikiri dhoruba CCM mtakuwa mmeliona na naamini pona pona yenu ni kwa kubebwa na Magufuli kwa kiwango kikubwa na makosa ya kimchezo yaliyofanywa na upinzani.
Hivyo, CCM inawabidi muangalie mbali zaidi. Baada ya uchaguzi huu CCM na Magufuli kijengeni chama chenu upya inatakiwa recruitment mpya ya vijana wasomi, wazalendo, wenye hali na upeo mpana zaidi. Hii Recuitment mpya yawapasa kuwafanyiai watanzania wasomi vijana walio ndani na nje ya nchi. Sasa niwakati wakukusanya nguvu na akili za watanzania wote wenye uwezo mahala popote walipo.
Ningewashauri mfanye hivi:
Baada ya uchaguzi, msikimbilie kuunda serikali, badala yake toeni matangazo muitishe CV na wafanyieni interview, physically ama kwa skype watanzania wote wazalendo wa ndani na wa nje. Na ili mtakapoanza kuteue watu katika nafasi mbali mbali, muwateue kwa vigezo halisi. Mkifanya hivi naamini na nafikiri mtarudisha imani kwa wananchi na vijana wasomi na wenye taifa hili.
Kwa nini unasema anaota ndoto za mchana?Unaota ndoto za mchana wewe!

Unaota ndoto za mchana wewe!
wote tuseme ccm bye bye hawataiona tena ikulu
Mabadiliko ya kweli ni kuanza kuweka position zote watu kwa kutumia CV zao na uchapakazi wao. Hapo ndo mabadiliko yataanza kuonekana kwa uwazi zaidi na sio kuteua watu tu kwa vigezo finyu. Hili swala la kuteuana ndo limewaweka ndani akina Kigunge, Mwapachu, Sumaye, Lowasa, Masha nk. Watu hawa utendaji wao ni ulikuwa zero kwa maana hakuna kilichofanyika wakiwemo serikali. ama walikuwemo kwa sababu walikuwa wanapewa ulaji kumbe wakiamini kabisa hamna kitu kinachoendelea. Ili kupunguza hilo nafasi hizi nyingi ziombwe kwa CV.
Hawana maono hayo; hata wewe unajifariji baada ya ukweli kudhiri
Mkuu ukisema ccm watumie CV I bet zaidi ya 80% ya top layer wake watakwenda na maji na hicho ni kitu kisichowezekana kwa ccm. Computer ishaliwa na virus wakutosha, kubadilisha antivirus hakutasaidia. Cha msingi ni kubadilisha Windows tu. To a hiyo windows 61/64/77 weka Windows 7/8 or any of the latest itasaidia .
Ukweli Magufuli atashinda, na ni mchapakazi mzuri sana, lakini mabadiliko ya kweli abadili jinsi ya kuwapata watendaji wa serikali na mashirika yake. Huku ndiko kwenye kikwazo cha maendelo, sababu wanateuana kwa kupeana. Mfano mzuri ni TANESCO, pamoja na madhambi yote wizari lakini watendaji wa TANESCO ni wabovu. Huo ni mfano mmoja tu lakini karibu kila kitengo cha serikali kiko hivyo. Kenya mbona wana ukame zaidi ya Tanzania na wana umeme wa tu wa kutosha?
Magufuli mara utakapoingia tu, badilisha namna ya kuwapata watendaji, itisha CV kwa watanzania wote duniani. Lasivyo, itakuwia ngumu kweli kweli na ndio utakuwa mwisho wa CCM. Ukaharibu wewe tu term hii, basi tena CCM inapotea.
Bado na ndoto za alinacha. CCM ndiyo iliifanya serikali kuwa tawi la chama kwa hiyo ni CCM ndilo tatizo cha kushukuru inaondoka HUTAKI ACHA.
Mgufuli ni robot inayotumia remote. Na remote wanayo wenye CCM yao. Sikia CCM haipo mitaani ipo Masaki. Kama unataka maelezo ya kina uliza uambiwe. Zaidi jitahidi uwajue wenye CCM si magufuli yeye ni chambio tu.
UZURI 25 OCT 2025 CCM ndembe ndembe
Magufuli atashinda oct 25, na ili alete mabadiliko ya kweli ni lazima abadili jinsi ya kuwapata watenda kazi, yani atumie njia ya CV kwa nafasi za utendaji na washindanishwe ktk interview. Kila chama kinawenyewe, tumeona akina Slaa, Arfi, Zitto ,Wangwe nk. Kikubwa kwa vile CCM watashinda huu uchaguzi basi watumie njia sahihi badala ya kuteua watu wa mfano wa Sumaye na Kingunge.
CCM ni gari bovu lililokata pumzi katikati ya kilima kikali na dereva akiwa amepoteza dira na mwelekeo na utingo anaweweseka kwa kupiga push up na kuongea lugha za kienyeji katika tatizo hili lisilohitaji push ups wala lugha gongana.Mimi nampiga kura yangu Edward Ngoyai Lowassa na Wabunge na madiwani wa UKAWA.