Na hii ndiyo hoja ya msingi na wala si dini au imani ya mtu!!.
Hapa ndipo ulipo mjadala, kwamba mtu toka nchi jirani na nyingine kabisa aje agombee uongozi wa Taifa letu na tumchague???
Waliharibu kuikataa rasimu ya katiba ya Jaji Joseph Warioba na kung'ang'ania uzamani ili hali tatizo hili lilishapatiwa ufumbuzi!
Haiwezekani Zanzibar wajiongoze na bado waje na upande huu wa nchi yetu ya Tamganyika nako tuongozwe na Mzanzibar; impossible!!
Ilikuwa ni zama zile za giza la ujinga, not now.....au la wanataka, Rasimu ya Jaji Warioba ije mezani tukumbushane, tujadiliane tuliweke sawa hili.....otherwise, it's chaos!!
NNN
mkuu nchi yetu waliotuachia mababu zetu inaitwa Tanganyika, nchi yao inaitwa 'zanzibar' wana rais wao, bunge lao, bendera yao nk. Hawa makupe hatuwezi waruhusu waje wagombee urais tanganyika kamwe!Nchi yako ipi na nchi jirani ipi?
mkuu kuruhusu hao makupe kuja kupanga magogoni ni uendawazimu! Hao mwisho chumbe! Watanganyika wako wengi tu wenye sifa za kuongoza taifa lao!Na hii ndiyo hoja ya msingi na wala si dini au imani ya mtu!!.
Hapa ndipo ulipo mjadala, kwamba mtu toka nchi jirani na nyingine kabisa aje agombee uongozi wa Taifa letu na tumchague???
Waliharibu kuikataa rasimu ya katiba ya Jaji Joseph Warioba na kung'ang'ania uzamani ili hali tatizo hili lilishapatiwa ufumbuzi!
Haiwezekani Zanzibar wajiongoze na bado waje na upande huu wa nchi yetu ya Tamganyika nako tuongozwe na Mzanzibar; impossible!!
Ilikuwa ni zama zile za giza la ujinga, not now.....au la wanataka, Rasimu ya Jaji Warioba ije mezani tukumbushane, tujadiliane tuliweke sawa hili.....otherwise, it's chaos!!
NNN
Mkuu kwani Zanzibar kuna mkiristo anayefaa kugombea urais?
Mkuu huo ndo ukweli wenyewe!
Ngoja tusubiri kampeni zianze uone moto wake kama kweli maccm watakuwa wamefanya mchezo wa aina hiyo!! Naona huijui siasa ya TZ wewe!! Hivi unafikri maccm yanavyotuchezesha tune za kubadili mkiristo kwa muislam hayajui hilo? Kama mnataka mali mtayapata UKAWA! Kwa ufupi ili tupate maendeleo ya kweli lazima tuimwage ccm na watu wake wote, usitegemee kupata mtu safi kutoka ccm atakayetuletea maendeleo, hiyo ni ndoto ya alinacha!!
Wakati umefika sasa wakusema bila kumung'unya maneno, Zanzibar itawaliwe na wazanzibar na Tanganyika na mtanganyika haitajalisha kama ni mkristu au mwislamu!wazanzibari wote si waislam na pia nchi hii haina dini! Suala la udini inakuzwa na wanasiasa. Watanzania wanamtaka mtu makini wa kuwaletea maendeleo.
Dah, mgombea urais a toke nchi jirani, haiwezekani kamwe!
Wakimweka mzanzibar huku bara saa tisa mchana tutaanza sherehe ya kunywa beer.kusherekea kifo cha ccm.
Sasa kama wakichukulia zanzibar hivi kuna wapiga kura wangap? minaona ndo mwisho wa ccm unakoelekea
Ndivyo ilivyo mkuu. Haiwezekani abadani Tanganyika nchi tuongozwe na majirani zetu wazanzibari. Yatoshe tulivyowabeba kwenye ofisi zetu huku Tanganyika.Na hii ndiyo hoja ya msingi na wala si dini au imani ya mtu!!.
Hapa ndipo ulipo mjadala, kwamba mtu toka nchi jirani na nyingine kabisa aje agombee uongozi wa Taifa letu na tumchague???
Waliharibu kuikataa rasimu ya katiba ya Jaji Joseph Warioba na kung'ang'ania uzamani ili hali tatizo hili lilishapatiwa ufumbuzi!
Haiwezekani Zanzibar wajiongoze na bado waje na upande huu wa nchi yetu ya Tamganyika nako tuongozwe na Mzanzibar; impossible!!
Ilikuwa ni zama zile za giza la ujinga, not now.....au la wanataka, Rasimu ya Jaji Warioba ije mezani tukumbushane, tujadiliane tuliweke sawa hili.....otherwise, it's chaos!!
NNN
Na hivi MGENI katangulia sijui Nani atahamasisha na minyimbo yake ile.Profesa asivyompenda kijana wa ngoyae anaweza kusema sasa ni zamu ya znz ili kummaliza mchezo kama alivommaliza saba kwenye jumba la dhahabu.
mkuu nchi yetu waliotuachia mababu zetu inaitwa Tanganyika, nchi yao inaitwa 'zanzibar' wana rais wao, bunge lao, bendera yao nk. Hawa makupe hatuwezi waruhusu waje wagombee urais tanganyika kamwe!
Basi Slaa kaonesha kwa vitendo anapiga vita rushwa na ufisadi, nani kafanya hivyo kwa vitendo na maneno zaidi ya SLAAA???