Uchaguzi 2015 mambo yenyewe ndio hayo?

Siku nijika Africa ninataka kukuona je nitakuona Hospitali gani? au hufanyi kazi hospitalini? i guess!!!

Karibu sana nyumbani kaka,

Nijulishe mapema ili nikupokee airport. Nitakueletea dafu fresh kutoka mtini ili ukaribie nyumbani na kinywaji baridi asili chenye manufaa ya kiafya...
 
Karibu sana nyumbani kaka,

Nijulishe mapema ili nikupokee airport. Nitakueletea dafu fresh kutoka mtini ili ukaribie nyumbani na kinywaji baridi asili chenye manufaa ya kiafya...
Umenikumbusha nyumbani kwetu Mkuranga nkifika Uzaramuni wananipa Wajomba zangu maji ya madafu nitakuambia inshallah siku nikitaka kuja si unajuwa wazaramo kwa kupenda kua na minazi mingi!

 
Sasa mkuu Mzizi Mkavu mbona kuna sehemu nyingine twaambiwa maji ya madafu yanasababisha mshipa kwa wanaume. Kuna ukweli wowote?
 
Siku nijika Africa ninataka kukuona je nitakuona Hospitali gani? au hufanyi kazi hospitalini? i guess!!!

Siku hizi hospitali imekuwa kama kituo cha polisi kwake ; yuko anahangaika na chama cha magamba kuwapigia propaganda mitandaoni pengine watamkumbuka kumpa ubunge wa Kilosa 2015!!! Kufanya kazi mahospitalini hailipi huku bongo dili zote ziko kwenye siasa!
 
Mkuu mimi sipo chama chochote cha Siasa hapo nyumbani. Vyama vya Siasa kwangu mim ni kama vyama vya Mipira vya Timu kubwa hapo kwetu Simba na Yanga mimi sio mpenzi wa timu yoyote ile Duniani mimi ni Mpenzi na Mwanachama wa Jamii forums tu hakuna chama kingine zaidi ya hapo mkuu jaribu kunielewa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…