Yaani Mwanamke mmoja wa kichaga amekukataa . Basi kila siku ni kuja kuwasema JF na kuwabaragaza wanawake wote wa kichaga.
inashangaza kwakweli kama hii ndio Type ya wanaume tulioko kwenye Jamii.
NB
Ukiona mwanamke wa Kichaga au mwanamke yoyote anakuzungusha zungusha na kukuzingua. Ishu sio yeye. Ishu ni wewe.
Jipambanie Bro. Jijenge .kuna kitu hakiko sawa upande wako.
Kirekebishe hiko kwanza