Nakuunga mkono mkuu kitu kiko super fast, yaani na kisimu changu chenye processor ya 528MHz napata downloading speed hadi 350KBps(SIJAKOSEA), kweli UC ni chiboko opera tupa kule. Ila hiyo UC DISCK ndo ngeni kidogo ngoja niifanyie HOMEWORK kwanza.
hamna kitu. inashindwa kufungua picha. picha saba utaweza kuona tatu tu. ila kudownload ipo poa. operamin ndo mambo dabodabo.
Mh!!hiyo speed!! wc 4n model na kwa mtandao gani?
mkuu mimi natumia QQ browser min. coz inanipa uwezo wa kuangika msg na kupiga simu moja kwa moja kutoka kwenye simu yangu bila kudisconnect internet. na yote unayoyasema kwenye uc yapo pia. so mtu ni kuchagua. uc hijanishawishi bado.Labda una version ya 3.3 wenzio tuna 8.5 dubu
Uc browser is a powerful downloader the UDISK feature,,,tho otha features iko sem with opera km tabbed pages,long click menu etc tho cjaona ishu ya CALLING AND TXTING w/o closing the browser kwny opera ila hii ni easy kwny s60 cuz u cn minimize the applicatn mayb ts a task 4 s40z!
Apart opera imetisha kwny synchronization ov bookmarkz!
So ni upishano mdogo 2 uliopo ila hz ndo fEw Factz!
uc pia ina send sms mjomba.