Ubusy katika Mapezi

Wataalamu wanasema kuwa, nguzo ya kwanza ya malavidavi ni mawasiliano.Ukiona mpenzi cku mbili zinakata hata salamu hakuna jua penzi linapwaya.Wherever love exists communication is taking over.Nisiwakatishe tamaa ila wanasema ukitaka kum- mwaga mupenzi unatakiwa ufanye mazoezi ya kupunguza mawasiliano kidogo kidogo,Mwisho unapotea moja kwa moja.ANGALIZO: Usibadili namba ya cmu utajenga uhasama.MTOA MADA NINA MASHAKA UMEPIGWA KIBUTI.
 
Kuna mwenzako anapigiwa kila siku amka wewe.
 
hivi kumbe ni binti huyu...???

basi sredi klozidi...wapo wanaomsaidia huko kutuliza kibaridi cha Uluguru...

hahahahahaaha nmemjaji kupitia hiyo username yake SABRA...
 
hahahahahaaha nmemjaji kupitia hiyo username yake SABRA...

Sikuwa nimefikiria jinsia yake kabla...hata baada ya kusoma jinale!!!

Btw mzima wewe, umepotea kiasi...
 
Sikuwa nimefikiria jinsia yake kabla...hata baada ya kusoma jinale!!!

Btw mzima wewe, umepotea kiasi...

nipo ndugu tumajukumu tunanikabaaa koo ndomana samtime napoteaa...za uliko kwa wakati huuuuu????
 
Ukiona manyoyaa.....ujue?pambaf unaona manyoya unasema kuku anaoga?mfyuuuu wajinga ndio waliao
 
nipo ndugu tumajukumu tunanikabaaa koo ndomana samtime napoteaa...za uliko kwa wakati huuuuu????

Huku ni njema tu na pole na majukumu yaliyokukinza hivyo...yakikukaba sana fanya fanya mpango wengine tutoe msaada atiii
 
Huku ni njema tu na pole na majukumu yaliyokukinza hivyo...yakikukaba sana fanya fanya mpango wengine tutoe msaada atiii

santeeeeeeeeeeeeee .......aseeeeeee kweli kabisa fanya ukuje huku saidia mimi kazi banah
 
santeeeeeeeeeeeeee .......aseeeeeee kweli kabisa fanya ukuje huku saidia mimi kazi banah

Hahahah haya mpendwa we nipe ramani tu miye takuja chap chap kukupa tafu eenh
 
anakudanganya mtu hawezi kuwa bize kiasi icho kwa choon nani anaenda kwa niaba yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…