Sabra said
Member
- Jun 28, 2014
- 49
- 9
wewe vumilia tu
Navumilia bt nachoka inaweza fka semister nzma mtu hajakutafuta ikiisha ndo anakutafuta.
basi tafuta mwingine mpemaa akikupiga kibutu wewe unavuta tu ata moyo hauumi
Uwizi mtupu,mapenzi yakikunoga hata ukiwa toilet unajibu message
Nenda huko SUA kaulize hayo maswali yako...
duuuh hili linanihusu kabisaaaa.........n
unaonesha your still so young yan mpaka nakuhonea huruma.....
basi tafuta mwingine mpemaa akikupiga kibutu wewe unavuta tu ata moyo hauumi
Habari wana jf.iv jaman ubusy katka masomo unaweza kusababsha usimpgie simu umpendae mwez?tuseme mwenzetu vocha uweki? Na mahusiano kuvunjwa utaki.je, jaman huku si ndo kuanza kumulka mwiz?Ebu mnisaidie especially wale wanaosoma SUA may b wapo busy kushnda vyuo vngne.
ukweli mchungu ni kwamba...ana my love wake hapo chuo wewe ni my love wake wa likizo time
Hapo sidhani kama upo unapendwa! hata kama ni kusoma hana hata time ana relax?!
ni pm, tunaweza tukaonyeshwa mbadala!
Duuuh!! Nkupm???
Nenda huko SUA kaulize hayo maswali yako...