Ubuntu

modeminawezekana mie natumia ubuntu 10.04 na ninaweka line yoyote ile bila kuichakachua modem(voda)

hahahaaa mkuu mtazamaji, thanks God now you are coming! nilitaka utoe maelekezo zaidi, usibanie watu maujuzi ya teknolojia mkuu!! tuko pamoja kiongozi!

Jimbi please lugha zako za kukatisha tamaa hatuzitaki huku! Kama mtu kakosea si useme kwa utaratibu?
Jifunze lugha za jukwaa husika ili usichanganye mambo!
tuko pamoja mkuu! kama knowledge yako siyo ya madesa hakuna sababu ya kuogopa challenge mkuu, teh teh teh

Reactions: HT
hahahaaa mkuu mtazamaji, thanks God now you are coming! nilitaka utoe maelekezo zaidi, usibanie watu maujuzi ya teknolojia mkuu!! tuko pamoja kiongozi!

Hahahhaa Jimbi unajua sometime inabidi kuwa katika student mode tu . so ukichangia kidogo then unauchuna kujifunza kutoka kwa wokongwe na wataalam wa fani wengine.

Aksante kwa challenge mkuu tuendelee...... Hope mweye tatiza akifanikiwa naye atatatujuza alifanya nini tuweke kwenye kumbu kumbu zetu.

Wakuu thanx a lot kwa michango yenu kuhakikisha natatua tatizo hili.
Kwa bahati mbaya lapy yangu imecrash toka siku nimepost hivyo nasubiri nitulie nitafute cd ya win 7 niiweke sawa then i will be back for feed back.
Thanx again tupo pamoja
poa kaka, and next time usifanye installation ya ubuntu alongside windows ka its not a good choice. Itengee ubuntu kama 15gb zitatosha.

tuko pamoja mkuu! kama knowledge yako siyo ya madesa hakuna sababu ya kuogopa challenge mkuu, teh teh teh
Spidi yako ilinitisha....tuko pamoja 🙂

modeminawezekana mie natumia ubuntu 10.04 na ninaweka line yoyote ile bila kuichakachua modem(voda)
Mkuu unatumia modem gani? mimi natumia k3570-z

modeminawezekana mie natumia ubuntu 10.04 na ninaweka line yoyote ile bila kuichakachua modem(voda)
Mkuu kweli ubuntu ipo powa, hatimaye nimeweza kutumia modem yangu ya vodafone k3570-z kwa ubuntu 11.04 bila kuichakachua.
Nimedelete account iliyokuwepo na nikafungua mpya iliyokuwa detected na os nikafuata simple prompt, nasasa natumia airtel kama kawa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…