Wadau nimeistall ubuntu 11.04 alongside windows 7, yaani siafanya patrition nimeinstall ubuntu ndani ya windows..imekubali na inaboot fresh nikiichagua wakati wa boot
naomba nisaidiwe namna ya kuinstall modem yangu ya sasatel ili niwe connected
NB
Nimearibu kuangalia ubuntu itakuwa insatalled wapi sijaiona kabisa, wakati ilisomeka ininstall c
Yeah mkuu ninamatumaini ni njia rahisi 2 kama unataka i function coz nakumbuka fresh nilishawah set up modem ya vodafone and zantel fasta 2 bila shida and no need of software kwanza cha maana kujua ni dialing number like *99# sasa ya sasatel ni ipi and also user name kama ni lazima kuweka then ukishayajua haya hakikisha imekuwa detected coz mara ya kwanza inasumbua kdogo so jaribu kuchomoa na kuchomeka mpaka finally utaona imekuwa detected na inaonekana kwny my computer then angalia kulia juu kwny taskbar kuna icon ya network right click na utaona kuna a new connection lakini needed kuwa configured ifungue iyo kitu then chagua iyo modem itakuwa imelistiwa apo kama imekuwa detected then next apo utachagua Tanzania but pia utaona iyo service provide SASATEL aipo it doesnt matter just iandike kuna option ya kuandika apo then next apo utajaza re queried fileds kama iyo dialing number na pia sasa apa lazima uweka user name and password kama sasatel haina then andika yoyote lakini lazima ijazwe then save and ok..... sasa uki click apo kwny network icon utaona iyo SASATEL uliotegeneza na chini yake kuna option ya kuconnect and connect itachugua sekunda kadha and itakuwa connected... ANGALIZO inaweza ikawa tofauti na maelezo yangu lakini kama nime elezea kadri ninavyo kumbuka and pia sikutest za SASATEL but zantel na vodafone ilikubal hii jia na hii ndo jia simple ya kukonnect kwa sasa mpaka badae labda ukipata software nzuri zaidi ya kukonnect kwa kama feauters za kucall na kurecharge... ni hayo 2 i was just trying to HELP.... HOPE IT WORKSWadau nimeistall ubuntu 11.04 alongside windows 7, yaani siafanya patrition nimeinstall ubuntu ndani ya windows..imekubali na inaboot fresh nikiichagua wakati wa boot
naomba nisaidiwe namna ya kuinstall modem yangu ya sasatel ili niwe connected
NB
Nimearibu kuangalia ubuntu itakuwa insatalled wapi sijaiona kabisa, wakati ilisomeka ininstall c
Go to edit connections, then mobile broadband click on add connections or just add,and a dialogue box will appear,click forward and select Tanzania then forward again and select sasatel,then click forward again and apply.Now plug-in your modem go to connections and click sasatel default,and start enjoying.
Connect kwenye internet ya uhakika au data card iliyo na at least 2GB then alt+F2 kikija kile kibox andikaWadau mini ninatumia ubuntu 9.10 nimefuata hizo procedures ila sehemu ya nchi TANZANIA haipo kwenye list na mimi ntumia ttcl. Please advise. Thanks
Mkuu shukrani nimetumia Extfs Explorer na nimefanikiwa.Paul,
by default Linux hutumia partition format tofauti na windows. Kwa hiyo huwezi ku access Linux part. Ktk windoze. njia rahisi ni kuwa na partition tatu. Moja for windows system, ya pili Linux ya tatu kwa ajili ya data storage. Sasa hiyo ya data inakuwa formatted ktk NTFS ambayo both Linux na Windoze zinaweza ku access na data zinakuwa centralized
kama bado unataka ibaki ilivyo kuna kitu inaitwa extfs explorer lakini ina soma tu ukitaka kulitumia faili inabidi ulinakili ktk partition nyingine
yap, haya ndiyo maelekezo sahihi anayopaswa kupewa!Go to edit connections, then mobile broadband click on add connections or just add,and a dialogue box will appear,click forward and select Tanzania then forward again and select sasatel,then click forward again and apply.Now plug-in your modem go to connections and click sasatel default,and start enjoying.
wacha kupotosha wewe! nani alikwambia ubuntu 10.10 and above zinahitaji u-install drivers kwaajili ya modems? mambo mengine kama haufahamu jaribu kukaa kimya tu kijana!!Mkuu nadhani unatakiwa ku google jisni ya uinstall driver za modem kwenye ubuntu. lakini itakuw rahisi ukijuia hiyo modem ya sasa tel ni model au brand gani. Maana hapo unaposema modem ya sasatel ni sawa kuulizia tairi ya toyota.
Alfu tatizo lingine unaweza kuumbana nalo kwa kuwa hiyo Ubuntu ni latest inaweza kuwa kazi kidogo kupata drives zote. lakini kama uko hungry kujifunza usitooe komaaa nayo hivyo hivyo. Ukifanya via the hard way utajua mengi
Iweke kwenye book mark hii link Ubuntu Forums itakupa guide ya kutatua matatizo mengi. Othewrise taja model ya hiyo modem ya sasa tel tutafute malekezo yake sahihi
Dont be suprised kama utahitajika kuinstall kwa command na sio kwa ku clik next next kama kwenye windows. Just drop hiyo model ya modem
hivi ninyi mkoje? we sharobalo umeisha wahi kutumia ubuntu 10.10 na 11.04?ni rahisi tu taja model number and everything will be like charm!!!
tunakusubili wewe sasa usituangushe tatizo lako ni tatizo la JF nzima
so tupe hilo tatizo. fahamu kuwa modem nying zakubali ubuntu!!
dont make us wait for long mkuu
wacha kupotosha wewe! nani alikwambia ubuntu 10.10 and above zinahitaji u-install drivers kwaajili ya modems? mambo mengine kama haufahamu jaribu kukaa kimya tu kijana!!