Wakuu heshima mbele. Naomba wenye utaalamu wanisaidie jinsi ya kudownload software yoyote ya ku download video kupitia ubuntu. Au nieleweshwe jinsi ya - kudownload (Kupakuwa) video kupitia ubuntu.
Asante na natambua ushirikiano wenu katika swala hili la kitehama tehama.