Ubunifu wa ccm

Jembe na nyundo vinaonyesha jinsi gani wanavyokwiba na kuwaacha wa tz hoi
 
Hiyo nyundo ni kwa ajili ya mafisadi kuwatwanga vichwani walala hoi na jembe ni kwa ajili ya kuchimbia makaburi ya kuwazika

aiseeeeeee mkuu ni kweli hiyo nyundo jana ilinitwanga wakati nanunua umeme na mafuta vimepanda bei
 
:becky::becky:Wakati wengine wnakimbizana na tecknologia wao ndo kwanza wana tambaaaa!!!
 
Hamna jipya watanzania wanalo tegemea. mwenyekiti ni yule yule anayetabasamu muda wote hata akikuta kuna msiba, pengine anafurahi kuongoza viraza
 
Baada ya kukwiba ,maliasili, madini,pamoja na fedha zetu sasa naona wamehamia kwenye misitu,kumaliza kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…