Ubungo mwaka 2015

nimejikuta nacheka mwenyewe...hahahahahaha.kwa mfumo wa ufanyaji kazi wetu ndoto..
 
duh!! nakunya kutoka dar hadi mbeya ikiwa hivyo

Utaweza kama utaenda na gari binafsi ila inabidi ule chakula kitakachochafua tumbo unaanza na Dar kisha Pwani halafu Moro then Iringa itafuata Mkoa mpya wa Njombe (makambako) kisha huyoo hadi Mbeya kila mkoa unaacha sample ya u.h.aro
 
Ndoto za mchana kweupeeeeeee

Labda tuletewa net group tena ...hiii ya speed kali tu miaka mingapi tumeisikia na imeanza kujengwa vituko vinaendelea
 
Ungeonyesha na makaratasi, malundo ya uchafu, mabanda umiza kwa pembeni unge eleweka kidogo
 
Labda kama Riz One,Rostam,Kiwete,Mamvi, na wapuuzi wengine kama hao watakapoamua kusurrender hela zetu.
 
bado, demand yetu bado hairuhusu fly overs za ukubwa huu
 
bado, demand yetu bado hairuhusu fly overs za ukubwa huu

Demand ya nini?
Uwezo mdogo, mipango miji ovyo..... plan za puani... wala hatuna maeneo ya kujenga hivyo... :screwy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…