Fuatilia maisha Yako mama!Umeandika ukiwa na utimamu wa akili? Mtu akiingia na petrol humo ni mjanja? Taifa lina viazi sana hili au stress zimekuzidi lakini ukiandika kitu fikiri kidogo mkuu.
Wewe sheria ya matumizi ya mtandao sijui kama itakuacha salama.........Hakuna Mjanja aingie na Petrol kwenye Mitambo ya Songas!
Mitambo ya Songas inagusa maisha yetu ndugu,labda ungesema huyo mjanja akarushe bomu la petroli nyumbani kwako.Fuatilia maisha Yako mama!
Mitambo ya Songas inagusa maisha yetu ndugu,labda ungesema huyo mjanja akarushe bomu la petroli nyumbani kwako.
Mkuu hakipo tena mimi mwenyewe lilikua chimbo la kuchukua matunda na viungo viungo, sasa hivi ni hadi mawasiliano.Hivi kale ka soko ka jioni pembeni ya fensi hapo bado kapo??
Kilikuwa kijiwe changu hichi cha kuchukua mazaga zaga mida ya jioni enzi hizo napiga shato pori toka kampasi kuelekea hostel Mabibo.
Pole sana kiongozi. Lakini jifunze kuwa mzalendo.Fuatilia maisha Yako mama!
Pole sana kiongozi. Lakini jifunze kuwa mzalendo.
Nenda ww ukawe mjanja usiye na akili wala hujui kwann unaishi lofa ww?Hakuna Mjanja aingie na Petrol kwenye Mitambo ya Songas!
Dah, kwa hiyo siku hizi maisha yameharibika kabisa aiseee....Mkuu hakipo tena mimi mwenyewe lilikua chimbo la kuchukua matunda na viungo viungo, sasa hivi ni hadi mawasiliano.
Mpwa, tusichoke kutoa somo la uzalendo kwa vijana. Yeye hajui alichokiandika kinaweza kusababisha maafa makubwa kwa taifa.Mpwa wewe hujui kuwa machizi wanaachwa mitaani na milembe wanapelekwa wazima.....sasa mtu mwenye utimamu wa akili unaanzaje kutoa maneno kama hayo....??
Mpwa, tusichoke kutoa somo la uzalendo kwa vijana. Yeye hajui alichokiandika kinaweza kusababisha maafa makubwa kwa taifa.
Halafu anajitoa mhanga au anakimbia?Hakuna Mjanja aingie na Petrol kwenye Mitambo ya Songas!
Ndugu, umejaribu Ku "incite a terrorist act" ambayo potentially ingeweza kupoteza mali na uhai Wa watu wengi sana! Unalolote la kujitetea kabla cybercrime haijakushughulikia?Hakuna Mjanja aingie na Petrol kwenye Mitambo ya Songas!
Ndugu, umejaribu Ku "incite a terrorist act" ambayo potentially ingeweza kupoteza mali na uhai Wa watu wengi sana! Unalolote la kujitetea kabla cybercrime haijakushughulikia?
Wewe waliompa mimba mkeo na mimi nani? Chizi unafikiri Sikufahamu japo unatumia ID nyingine na Picha ya Malcom X? wachunguze watoto wako vizuri.Mpwa wewe hujui kuwa machizi wanaachwa mitaani na milembe wanapelekwa wazima.....sasa mtu mwenye utimamu wa akili unaanzaje kutoa maneno kama hayo....??