Mi najua sema ngoja kwanzaa, niko hapa
Ishu ni kwamba jana mama lishe walipigwa sanaaa, machinga wakafukuzwa na kuna uvumi ni UKAWA na meya wa jiji hili. Sasa hapa walikuja mchana, wakajadili vizuri tu kuwa waache mama lishe wauze leo sababu washapika kesho kwa hiari hawatopika wala kuja. Mi nilikuwepo na ndugu yangu hapo kaniletea HG ndo nikawa namchukua sasa.
Wakakubali wakawa wanaondoka wanaenda SONGAS. Weeeeeeeee! Wahuni wakaanza kuwapopoa mawe wale sijui mgambo sijui FFU kwenye canter wakarudi sasa, tumekula mabomuuuuuu ya machoziii. Tumekula barutiiii, Maji ya kuwasha. Ndugu yangu anafoucs kwenye chakula kuokoa kanirushia mwanae. Tukawa tumetawanyana msichana wa kazi wala huyo ndugu yangu sijui walipo mpaka mda huu, simu haipatikani.
Kukawa shwari tu kwa dakika kadhaa, nikarudi kumrudishia mtoto wake maana nikajua tumbo limembana huko hajui mwanae alipo. Si ndo wahuni wakachoma matairi barabarani sasa gari haziendi wala hazirudi. City Wakaja tena mabomu ya kufa mtuuu. Nikakimbia tena na mtoto mpaka landmark. Yani umo haumo unachezea kichapoo na mabomu unakula vizuri ukizubaa.
Mda huu tunavoongea wahuni wamepora viti, meza matairi wanachoma barabarani, wameenda kuchukua petrol wanataka kuwasha mistimu ya TANESCO kuwe giza totoro vita iwe kamiliiii. Polisi wamekuja wa kutosha na wamejiandaa. Hali ilivo hapa ni tete. Kukiwa giza ndo tutakomaa. Ila vingora vya kutosha vya polisi ndo tunawategemea ila wahuni wameamua kuwa kama vita basi iwe vita.
Kubenea njoo basi uwapooze hawa wahuni ujue. Walikupigia kampeni ujue.
Mi najua sema ngoja kwanzaa, niko hapaWadau muda huu hapa maeneo ya Ubungo darajani (riverside) kuna matairi yamechomwa barabarani, askari wanafyatua risasi hewani. Kwa ufupi ni tahayari na taharuki. Mwenye kujua utuarif!
Ahsante Lara 1.Mi najua sema ngoja kwanzaa, niko hapa
Ishu ni kwamba jana mama lishe walipigwa sanaaa, machinga wakafukuzwa na kuna uvumi ni UKAWA na meya wa jiji hili. Sasa hapa walikuja mchana, wakajadili vizuri tu kuwa waache mama lishe wauze leo sababu washapika kesho kwa hiari hawatopika wala kuja. Mi nilikuwepo na ndugu yangu hapo kaniletea HG ndo nikawa namchukua sasa.
Wakakubali wakawa wanaondoka wanaenda SONGAS. Weeeeeeeee! Wahuni wakaanza kuwapopoa mawe wale sijui mgambo sijui FFU kwenye canter wakarudi sasa, tumekula mabomuuuuuu ya machoziii. Tumekula barutiiii, Maji ya kuwasha. Ndugu yangu anafoucs kwenye chakula kuokoa kanirushia mwanae. Tukawa tumetawanyana msichana wa kazi wala huyo ndugu yangu sijui walipo mpaka mda huu, simu haipatikani.
Kukawa shwari tu kwa dakika kadhaa, nikarudi kumrudishia mtoto wake maana nikajua tumbo limembana huko hajui mwanae alipo. Si ndo wakachoma matairi barabarani sasa gari haziendi wala hazirudi. Wakaja tena mabomu ya kufa mtuuu. Nikakimbia tena na mtoto mpaka landmark.
Mda huu tunavoongea wahuni wamepora viti, meza matairi wanachoma barabarani, wameenda kuchukua petrol wanataka kuwasha mistimu ya TANESCO kuwe giza totoro vita iwe kamiliiii. Polisi wamekuja wa kutosha na wamejiandaa. Hali ilivo hapa ni tete. Kukiwa giza ndo tutakomaa. Ila vingora vya kutosha vya polisi ndo tunawategemea ila wahuni wameamua kuwa kama vita basi iwe vita.
duh hapo mkuu ukute hata uwezo wa kupanda daladala hunaNilikuwepo Eneo La Tukio Nikitokea Buguruni Nikiwa Na Nissan Murano Yangu Lakini Ilivyonichelewesha Nikataman Bora Ningekuwa Na Audi Yangu Lakini Nkakumbuka Pale Tanesco Kuna Mtu Kaniazima Vx Langu Nkasema Isiwe Ishu Nkakomaa Nkakomaa Na Murano Yangu Huku Mawazo Yakiwa Kwenye Altezza Yangu Iliyokuwepo Gerej Kwa Wachina Kimara
Mkuu Umepata Fununu Magari Ya Mwendokasi Yatatoa Ofa Lini Tena? Ukisikia Ni Pm Nimrudishie Bosi Magari Yake.duh hapo mkuu ukute hata uwezo wa kupanda daladala huna
Zitakuwa zimeshadhibitiwa.Vurugu zimedhibitiwa??
Wengine ndio tunaishi apa. Maswala ya petrol apo mjomba utatuuaHakuna Mjanja aingie na Petrol kwenye Mitambo ya Songas!
Umeandika ukiwa na utimamu wa akili? Mtu akiingia na petrol humo ni mjanja? Taifa lina viazi sana hili au stress zimekuzidi lakini ukiandika kitu fikiri kidogo mkuu.Hakuna Mjanja aingie na Petrol kwenye Mitambo ya Songas!
Hakuna Mjanja aingie na Petrol kwenye Mitambo ya Songas!