New Force 2015
Member
- Oct 25, 2013
- 63
- 262
Wananchi wa Jimbo la Bahi wanasema mabadiliko ni lazima sasa, mkoa wa Dodoma haujawahi kupata mbunge wa Upinzani tangu uhuru,vuguvugu la mabadiliko limeshika kasi ndani ya Dodoma likiongwa na Makamnda mbalimbali kila kona ya Mkoa huku Mathias akiongoza harakati za Kumtoa OMARY BADUEL (CCM) ambaya pia ana kesi mahakamani ya Kupokea Rushwa..
Sema unachokijua kuhusu kamanda huyu Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Bahi.....
Sema unachokijua kuhusu kamanda huyu Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Bahi.....