Nimeshangaa sana usiku huu nipo njiani nasafiri kuelekea Kenya kukutana na road diversion hapa mizani ya Lamadi-Bunda ambayo ipo sehemu inayoanza mbuga ya Serengeti.
Nkajiuliza mwaka 2013 napita hapa road ilikua nzuri na hata mwezi mmoja nyuma nimepita barabara hii ilikua nzuri(Machoni ikionekana nzuri kumbe kimeo).
Sasa kitendo cha Leo kupita na kuanza kuchepushwa njia ya vumbi inaonesha hii barabara haikujengwa kwa kiwango na waziri ambaye alikua na Dhamana ya kusimamia ujenzi wa barabara kipindi hicho ni huyu ambaye ndo rais wetu ,sasa kama alishindwa kusimamia ujenzi bora wa barabara zetu hadi sasa zimeanza kuwa na viraka ndo ataweza kusimamia nchi?
Mmeshaona jinsi anavyozingua