Background Check
JF-Expert Member
- Jun 28, 2019
- 378
- 578
Hivi hiyo barabara ya kuanzia Lumambo mpaka Ulowa-Ushetu, bado haijawekewa rami?Kama ilivyo ada 'siasa ni maisha na maisha ni siasa'
Kauli hii ni kweli over 50% siasa inaamua vitu vingi sana, kuanzia bei za bidhaa, kodi, miundombinu, utendaji nk...
Nimetafuta namna nzuri ya kueleza kero za Kahama nimeona sipatiwi majibu, moja ya njia nimejaribu kutumia sanduku la maoni pale Kahama Municipal lakini hakuna majibu yoyote.
1. Kahama barabara ni mbovu
Barabara ya Phantom - Mjini - mataa(kupanda na kushuka) - junction ya polisi - Kishimba secondary nk. hizi barabara ni kibovu sana kila mwaka marekebisho sasa hivi kuna vilaka na mashimo ya kutosha, utadhani ni rough road.
2. Barabara zote za rough road (mkazo barabara ya mama Farida, Mungula - Nyandekwa-..., Dodoma mwisho wa rami - Kilago -....)
3. Hivi pale Lumambo hakuna namna barabara ikawa designed round about/keep reft, au zikawekwa taa za kuongoza magari?.
4. Kuna tuta kubwa pale lumambo lakini hakuna alama yoyote ya kuonesha kuwa kuna tuta wala tuta.
Mkurugenzi, Mkuu wa wilaya, Tanroad na watendaji wengine kama mtaona bandiko hili jitahidini kufanya marekebisho, hali si shwari.
Machepele Tanzania
Kahama.
Rami inaishia Dodoma (Ummy mwalimu Industrial Area).Hivi hiyo barabara ya kuanzia Lumambo mpaka Ulowa-Ushetu, bado haijawekewa rami?
Duuh my countryMimi Nadani ni tatizo la nchi nzima... Jiji la Mwanza sasa hivi barabara ni vituko kuanzia hapo Mataa ya makoroboi ukishika Musoma Road kuna mashimo yakufa mtu sijui makonda alipita wapi ? Humo ndani ndani sasa sijui Ilalila, Buguku, Kwa mama Lulu ...e.t.c Barabara zimejeko mito hata Bodaboda zinapita kwa hesabu Kali kama una gari inabidi ukaiache sheli tu no way out.
Kodi zetu wanazutumia vibaya sanaPoleni sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
Duuh, miundombinu ni changamotoTanzania nzima miundombinu ni sifuri...nakualika uje huku mmbande-msongola-majohe-kitunda ujionee jinsi watoto wakivua samaki barabarani
Kama ilivyo ada 'siasa ni maisha na maisha ni siasa'
Kauli hii ni kweli over 50% siasa inaamua vitu vingi sana, kuanzia bei za bidhaa, kodi, miundombinu, utendaji nk...
Nimetafuta namna nzuri ya kueleza kero za Kahama nimeona sipatiwi majibu, moja ya njia nimejaribu kutumia sanduku la maoni pale Kahama Municipal lakini hakuna majibu yoyote.
1. Kahama barabara ni mbovu
Barabara ya Phantom - Mjini - mataa(kupanda na kushuka) - junction ya polisi - Kishimba secondary nk. hizi barabara ni kibovu sana kila mwaka marekebisho sasa hivi kuna vilaka na mashimo ya kutosha, utadhani ni rough road.
2. Barabara zote za rough road (mkazo barabara ya mama Farida, Mungula - Nyandekwa-..., Dodoma mwisho wa rami - Kilago -....)
3. Hivi pale Lumambo hakuna namna barabara ikawa designed round about/keep reft, au zikawekwa taa za kuongoza magari?.
4. Kuna tuta kubwa pale lumambo lakini hakuna alama yoyote ya kuonesha kuwa kuna tuta wala tuta.
Mkurugenzi, Mkuu wa wilaya, Tanroad na watendaji wengine kama mtaona bandiko hili jitahidini kufanya marekebisho, hali si shwari.
Machepele Tanzania
Kahama.
Aje na masaki pia.Tanzania nzima miundombinu ni sifuri...nakualika uje huku mmbande-msongola-majohe-kitunda ujionee jinsi watoto wakivua samaki barabarani
Masaki ya dar es salaamAje na masaki pia.
Nilipiga trip moja kuelekea sehemu moja Inaitwa Mbika, kupitia Ibelansuha, ile barabara haifai aiseeh..!Duh hali ni mbaya zaidi kwa barabara za halmashauri ya Ushetu ni mashimo matupu magari yana haribu kilawakati. Rais wetu Mama Samia tuonamba ufanye kitu.
Huo mjini umekaa vizuri kiuchumi shida ni watendaji,kahama inamapato ya kutosha ungekuta barabara zote zina lami...dc wa hapo akili hamna anamiliki bunyero tu mtoto wa kiziguaKama ilivyo ada 'siasa ni maisha na maisha ni siasa'