Dah! Hata sikuamini kama simba wangeingia kirahisi kwenye mfumo wa Yanga. Na tatizo kubwa kwa upande wao lilianzia pale tu Kibu Dennis alipotoka, baada ya kuumia.
Kule mbele kulikosa mtu wa kuwasumbua mabeki wa Yanga. Na kuanzia hapo, wachezaji wa Yanga walikuwa wanafanya wanavyo jisikia. Washukuru wamefungwa 1-5. Mimi niliziona goli 6 eti!!!