Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,201
- 25,521
Haifiki sehemu wakati inaongoza ligi na iko makundi klabu bingwa?Usijidanganye ndugu yanga haifiki sehemu
Mkuu, Yanga hii haihitaji namba tisa. Magoli yanafungwa na yeyote.Yanga ikipata namba tisa mzuri itakua tishio sana
Waambie warudiane hata usiku huu waone kama simba anamuweza Yanga.Haifiki sehemu wakati inaongoza ligi na iko makundi klabu bingwa?
Ubingwa haipatiHaifiki sehemu wakati inaongoza ligi na iko makundi klabu bingwa?
Itatwaa ubingwa na kutoa mfungaji na mchezaji bora. Hushangai kuona viungo wanaongoza kwa ufungaji?Ubingwa haipati
Weka hii kama kumbukumbu yanga haipati kombe lolote msimu huuItatwaa ubingwa na kutoa mfungaji na mchezaji bora. Hishangai kuona viungo wanaongoza kwa ufungaji?
Hata Tatu angekuwa refa bado kipigo kingekuwepo .Najiepusha kuzungumzia matokeo ya leo pale Kwa Mkapa. Kwa Yanga hii, Simba haifui dafu. Simba walipotoka sare mbili na Al Ahly nilisema kuwa walikutana vibonde watupu. Wababe wa AFL wanacheza baadaye: Wydad v Mamelodi
Ilipotoka ratiba kuonesha kuwa Yanga amepangiwa mechi nne 'ngumu' mfululizo za Azam, Singida BS, Simba na Coastal Union wengi wasiofahamu uimara wa Yanga hii walipatwa na uoga.
Lakini, hadi leo hii Yanga wameshakusanya alama tisa kwa kushinda mechi tatu mfululizo dhidi ya Azam, Singida BS na leo amekandwa Simba. Sasa amebaki Coastal Union. Yanga yaweza kuzoa alama zote 12 katika mechi nne hizi.
Yanga hii ni hatari...ni kiboko. Hata wapinzani kwenye klabu bingwa wanakaa mkao wa kula..wanakaa kwa uoga na tahadhari kubwa. Yanga hii ina morali kubwa hasa kipindi cha pili.
Yanga iko vizuri. Simba wajipange sana...labda kama derby ingechezeshwa na....
Simba alipopigwa kitu akapmba kichomolewe ili apate kujamba ile mechi ya ngap ya jamii ilileta picha haiwezi kushinda mechi yoyote Tena.Waambie warudiane hata usiku huu waone kama simba anamuweza Yanga.
Upo sahihi kabisa na engine ya Yanga ni Aucho. Huyu ndiye roho ya Yanga.Mkuu bado hujausema ubora wa yanga.
Kwangu naona yanga wana nguvu kubwa saana pale katikati.. Unapocheza na yanga, wana wachezaji watano ambao kiasili ni viungo, unahitaji ukabaji wa hali ya juu na nidhamu kubwa mnoo kuwadhibiti, pacome, maxi na azizi kimsingi ni viungo kabisa, kwenye mfumo wanaonekana kama mawinga kiuhalisia si mawinga.
Kisasi chetu atatulipia Al AhlyHujui mpira. Simba kutoa sare na Al ahly haimaanishi Al ahly ni kibonde hata kama Simba ni kibonde.Mkikutana na Al ahly ni kwenda Kwa tahadhari la sivyo mtapata aibu kama Leo Kwa Simba.
Umepigwa 5gWeka hii kama kumbukumbu yanga haipati kombe lolote msimu huu