Ubora wa vyuo vikuu duniani: Oxford chaongoza duniani, Cape Town chaongoza bara la Afrika


E bana! Tusaidiane UDSM hakipo????
Siyo kwa Majigambo yale jamani///SometimesMchezohuu unahitaji hasira///
Maana sisi wengine wa CBE na Open Tunaonekana hata Madaftari yetu siyo.
 
Bora hata UDOM cha majuzi tu hakina hata historia,ila wama UDSM wamekuwa wakitamba sana kwamba ni chuo bora Africa Mashariki na kati,nashangaa hata hakikuzungumziwa.Tatizo ma prof badala ya kujikita na utafiti wanafanya siasa.
Hili ndo tatizo letu watz!

Wahadhiri badala ya kudeal na tafiti wao wanadeal na matumbo yao!

Siasa nyingii!
 
Huwa sitakagi masihara kamgogoro kadogo tu ka Zanzibar, ndo hasira mmezipeleka kwa UDSM, naomba hiyo list wai update tena .......
 
UDSM sijui wamekuwaje aisee
hili nlijua litatokea baada ya kikwete kupewa ukuu wa chuo!! ni dalili mbaya kwa udsm... BTW hii ni nafasi nzuri kwa SUA na MUHIMBILI kuchukua nafasi!!
naona ****** mmeshupalia udsm tu.mbona hamhoji hivyo vijivyuo uchwara vyenu?

E bana! Tusaidiane UDSM hakipo????
Siyo kwa Majigambo yale jamani///SometimesMchezohuu unahitaji hasira///
Maana sisi wengine wa CBE na Open Tunaonekana hata Madaftari yetu siyo.

Wana UDSM mpo wapi? Kazi kukandia vyuo vikuu vingine mitandaoni kila kukicha...!

Udsm n chuo kikongwe sio kikubwa

Wapi UDSM? Tantalilaa nyingii kumbe cha topeni tu.
 
Tatizo la vyuo vyetu hapa Tanzania vinaendeshwa kisiasa na havitoweza kupiga hatua zaidi kama siasa na taasisi za elimu isipotenganishwa.
 
Bongo hamna, duuu ndio maana mambo yetu magumu sana kwenye UCHUMI
 
Tatizo imekuwa ni mifumo ya elimu yetu toka O level na A level,wengi wao watoto wa wakulima tumesoma shule zetu hizi za serikali,tumekariri na kukalilishwa sanaa,tukienda Chuo tukamaliza wengi wao hatuna confidence, hata ya kudhubutu kutafuta nje ya Tanzania,tunasubiri hii serikali yetu ndo itupatie ajira,ni wachache sana wanao thubutu kujiajiri kwa taaluma zao.Pia hao ma Dr. na ma Pro. Hawaumizi vichwa kufanya tafiti za maana,matokeo yake zinatoka hizo tafiti kama za TWAWEZA mtaani uko.
 
Hapo ndio utaona tofauti kati ya visionary leader na manager
 
Unapoona wanataaluma wengi wanashika nafasi za kisiasa ni dalili mbaya.
Note.Tofautisha kati ya mwanataaluma na mtaalamu
 
Reactions: Izc
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…