Ubora wa singsung flat tv.

Masele Joe

Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
45
Reaction score
4
Kwa mwenye uzoefu na hizi SINGSUNG FLAT TV,Hivi zina ubora?.Na vp kuhusu quality ya picha yake?.
Anayefahamu tafadhari anijuze,nisijeingia choo cha kike.
 
kama bajet nzuri chukua samsung
anyway hata singsung sio mbaya sana mi mwenyewe natumia singsung quality ya picha ni nzuri.
tatizo la singsung zinaua sana ic ya sauti namba ya ic hiyo ni YD1517P ambayo kwa kawaida inasumbua sana upatikanaji wake
kwa hiyo nakushauri uchukue samsung singsung ic zake mbovu sana hasa ya sauti.
 
Duuuuh!.
Kama ni hivyo mbona hatari!!.Thank you brother.
 
Duuuuh!.
Kama ni hivyo mbona hatari!!.Thank you brother.
  • Chukua TLC LED tv, Hizi ni bora zaidi ukilinganisha na SINGSUNG
  • Kwa bei inazidi kidogo kwa singsung
  • Zinapatikana maduka ya kariakoo.
Ila bajet kama inaruhusu basi nunu SAMSUNG, au LG hutojutia kabisa
 
  • Chukua TLC LED tv, Hizi ni bora zaidi ukilinganisha na SINGSUNG
  • Kwa bei inazidi kidogo kwa singsung
  • Zinapatikana maduka ya kariakoo.
Ila bajet kama inaruhusu basi nunu SAMSUNG, au LG hutojutia kabisa

Asante!.
But sorry una idea yoyote juu ya bei ya hizo SAMSUNG au LG?.
 
Asante!.
But sorry una idea yoyote juu ya bei ya hizo SAMSUNG au LG?.

Hauwezi kuongelea bei za Flat screen bila kutaja ukubwa i.e size...

Mfano Singsung 25" 280,000/=
Samsung 23" 350,000/=
LG 23" 400,000/=

NB size sina hakika sana ila zinacheza 20s"

Hizi ndo bei nazo jua maana nimenunua hizo zaidi ya mara moja za watu tofauti tofauti
 


kaka @njunwa wamavoko hapo kwenye SigSung 25" wafanyabiashara wanadanganya sio kweli kwamba ni 25" bali ni 24". wafanyabiashara wanaangalia kwenye model number, eti kisa kuna 25 katika yale maneno ndio wanasema TV ni inch25. SingSung wana inch 22", 24",32"........ hakuna 25"


mimi nilikuwa najua ni inch 25, lakini siku moja niliichomeka kwenye laptop niitumie kama monito, hapo ndipo computer iliniambia "DETECTED 24" LED MONITOR" ikanibidi nichukue ruler na kupima, basi hapo ndio nikapata uhakika kwamba ni inch 24


angalia hapo chini:

hili ndilo box la singsung 24" na hiyo ndio model number.



hizi ni baadhi ya picha halisi za TV yenyewe, cha kufurahisha zaidi ni kwamba ina USB ports 2 ambazo zinasoma hadi external HDD ya 1TB.





 
  • Chukua TLC LED tv, Hizi ni bora zaidi ukilinganisha na SINGSUNG
  • Kwa bei inazidi kidogo kwa singsung
  • Zinapatikana maduka ya kariakoo.
Ila bajet kama inaruhusu basi nunu SAMSUNG, au LG hutojutia kabisa

Nadhani ni TCL sio TLC, hawa jamaa wanatoa hadi computer desktops za ukweli sana..
 

Daaaah!.
Hiyo imetulia xana kaka.Naona iko clear ile mbaya!!.
 

Kweli mkuu, mimi nina LG ya 42" lakini kuna siku niliipima mwenyewe kwa measuring tape na nikakuta ina 40"picha hizi-
 
Kwanini ununue sinsung sijui while inaonekana kabisa ni copy ya samsung? Anyway labda bajeti yako.
 

Attachments

  • 1404838387275.jpg
    54.6 KB · Views: 710
  • 1404838436991.jpg
    54.3 KB · Views: 565
Hata samsung zenyewe zipo Original na Fake usipokua makini utanunua jina la Samsung kumbe ndani ni singsung,original zipo ila bei zake zipo juu kidogo na wanatoa warranty ya miaka miwili,miye natumia samsung 32" toleo la mwanzo kabisa inakaribia mwaka wa tatu sasa sijawah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ