Ubora wa mechanical engeniaring

Password

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
777
Reaction score
1,086
Wakuu salaam sana juu yenu natumai ni wazima.

Swali langu ni kuhusu hii kozi ya mechanical engineering kwa hapa Tanzania,hivi wanafunzi wa hio kozi wanafundishwa tu kutengeneza(kirekebisha/repair) machine ambazo time shade sign Iowa kutoka nje ya nchi au pia graduate wa hio kozi wa vyuo vya Tanzania na yeye anafundishwa kudesign na kuunda machine yake mwenyewe.

Msaada tafadhali
 
vyote vinafundishwa na wanatakiwa kuvijua lakini kwenye field of work kinachofanyiwa kazi asilimia kubwa ni hicho cha kwanza kuliko design
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…