Ubora wa flat screen za singsung upoje?

Slaker

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
237
Reaction score
31
jaman kwa mwenye uzoefu na hz flat screen
vp za singsung zko pouwah kwa matumiz ya geto maana rumous znasema n bomu zle....sasa na me me nataka nkanunue..............
 
TV technology inaongozwa na Samsung kwa dunia ya pili na tatu
 
jaman kwa mwenye uzoefu na hz flat screen
vp za singsung zko pouwah kwa matumiz ya geto maana rumous znasema n bomu zle....sasa na me me nataka nkanunue..............

Jua tofauti ya Bei ya singsung na samsung afu uone ipi itakufaa maana kuna maduka wanauza bei sawa na samsung...

Or less mm nimetumiaga hiyo singapore product iko poa
 
jaman kwa mwenye uzoefu na hz flat screen
vp za singsung zko pouwah kwa matumiz ya geto maana rumous znasema n bomu zle....sasa na me me nataka nkanunue..............

nimeitumia kwa muda karibu mwaka sasa, kitu cha singsung LED. ni noma ina USB ports 2, HDMI 3, AV 2. inaoma hadi HDD.
iko powa haijasumbua pamoja na kwamba nipo sehemu ambapo umeme una fluctuate sana.

View attachment 164636

Ndo sh ngap hii nijitoe ufahamu nmechoka lenye chogo lizto mbaya
 
Kumbe sio ghali sana niweke kwenye plan zangu za mwaka huu nisababishe hyo makitu

bei iko reasonable kabisa, ila usinunue zile za inch 22 kwasababu utauziwa 300,000 wakati ya inch 24 ni 350,000 hadi 330,000/=

pia kuna zingine za inch 32 LED bei yake 580,000 hadi 550,000
 
Nimekupata mkuu ni jambo jema kuuliza mana nimejua vitu ambavyo nlikuwa sivijui, Ngoja niweke kwenye plan be4 mwak kuisha niwe na flat bhana .Naweza kabisa afu ni poa mamb ya inch 32 tuwaachiwe wenyew me natak hii ya 24 kama umepga mwaka haijazingua it means ina consistency
 
Kumbe sio ghali sana niweke kwenye plan zangu za mwaka huu nisababishe hyo makitu

yeap yeap nliulizia bei juz wamerange humo humo mkuu....safi kumbe cntokuja jutia mkwanja wangu enh.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…