😂 😂 😂 😂 subiri niweke akiba ya maneno kwanzaSwali la kizushi Doogee na Tecno bora nani?
Hawana issue mkuu na ukubwa wa storage na ram hauna maana yoyote bila kujua aina ya hio storage na ram, hizi kampuni zinaangalia wateja wanaangalia nini kisha wanaongeza quantity kama wingi wa core ram na storage na vile vitu watu wasivyoangalia kama vile nguvu ya hio core, uwezo wa graphics, ram za kisasa, storage zenye bandwidth etc hawaviweki kama inavyotakikana.Wakuu habar za wakati! Natumia ni wazima wa afya.
Kama kichwa cha habari kinavo jieleza natamani kujua ubora wa izo smart phone.
Mfano DOOGEE N20 kwa specifications zake na bei yake iko very cheap.?
Natamani kujua izi simu mfano karikoo zipo au mpaka uagize ali Express?
Kwa mlio bahatika kununua vip ubora wake?
Specifications
RAM 4GB
ROM 64GB
BATTERY 4500mAh
CAMERA 16 MP.
kwa around Tsh 230,000/=
Swali la kizushi Doogee na Tecno bora nani?
Karibu kwa mchango
Hawana issue mkuu na ukubwa wa storage na ram hauna maana yoyote bila kujua aina ya hio storage na ram, hizi kampuni zinaangalia wateja wanaangalia nini kisha wanaongeza quantity kama wingi wa core ram na storage na vile vitu watu wasivyoangalia kama vile nguvu ya hio core, uwezo wa graphics, ram za kisasa, storage zenye bandwidth etc hawaviweki kama inavyotakikana.
Wapo wachina wazuri tu toka Xiaomi, realme, oppo, vivo, Honor (huawei), Nubia(zte) etc simu zao nyingi zinakuwa nzuri.
Na ni ndugu mmoja hao na Tecno.
Hao kina Xiaomi niliowataja sio jamii moja na Tecno wao quality zao zipo juu zaidi.Shukrani mkuu
Ila izo simu kama Xiaomi, Oppo ect ni Jamaa moja na Tecno?
Mbona China wenyewe hawaitambu Tecno?
Mfano nenda AliExpress.! Huwezi kuipata
Labda kwa maana wote wanatumia Mediatek chips
Mkuu nataka kuagiza Xiaom redmi 9C
Kwa around Tsh 222,000/=
Specifications
RAM 2GB helio family G35 clock speed 2.3GHZ
ROM 32GB
BATTERY 5000mAh
Rear camera 13 mp, 5mp, 2mp.
Front 5mp
Bluetooth 5.0
OS : 10 with MIUI 12
naomba kujua kuhusu MIUI 12.
Chief-Mkwawa
Is it worth?
Kenya unaweza kuniunganisha niagize?Hao kina Xiaomi niliowataja sio jamii moja na Tecno wao quality zao zipo juu zaidi.
9c sio mbaya kwa hio bei ila ukiongeza kidogo unapata redmi 9 ambayo ni nzuri zaidi.
Na sio lazima kununulia Aliexpress, kenya zipo za kutosha.
Na miui ni muonekano tu Android, kama vile ambavyo Samsung ana One ui, Tecno na kina infinix wana Hios, Huawei Emui etc, hautaathiri matumizi ya kawaida ya Android.
Nikuunganishe vipi mkuu? Angalia site kama Jumia na Avechi utaona bei ya Hizo simu.Kenya unaweza kuniunganisha niagize?
Hao kina Xiaomi niliowataja sio jamii moja na Tecno wao quality zao zipo juu zaidi.
9c sio mbaya kwa hio bei ila ukiongeza kidogo unapata redmi 9 ambayo ni nzuri zaidi.
Na sio lazima kununulia Aliexpress, kenya zipo za kutosha.
Na miui ni muonekano tu Android, kama vile ambavyo Samsung ana One ui, Tecno na kina infinix wana Hios, Huawei Emui etc, hautaathiri matumizi ya kawaida ya Android.