Budget ya 20/21 imepita kwa kishindo bungeni 94%. Spika anasema haijawahi kutokea kwa budget kupitishwa na idadi kubwa hivi ya wabunge. Wiki mbili baada ya kusainiwa kama sheria na kuanza kutumika malalamiko yamekuwa mengi na kulazimisha marekebisho. Je kishindo ni cha ubora wa budget ama ubovu wake. Kishindo ni cha ubora wa utendaji wa bunge ama ubovu/udhaifu wa bunge? Tafakari.