hahahahaaaaaaaa, brother umeshusha essay ndeeeefuuuu afu umeingia CHAKA.... wanasema bidhaa za JUMIA sio jumla, uwe makini sana kusoma post kabla ya kuchangiaUbora hautokani na kununua bidhaa jumla au rejareja unatokana na criteria alizuzitumia manufacturer ili kuunda bidhaa bora
Kununua bidha jumla faida yake ni kupunguza cost kwa mfano ukinunua gunia LA mchele LA kilo 100 kipindi cha msimu Wa mavuno utanunua kwa bei ya chini zaidi na utakuwezesha kupita kwenye vipindi vyote vya price fluctuations ya bidhaa hip
Mlimani city kariakoo na kwengineko wanauza vitu kwa mifumo yote jumla na rejareja ni itategemea na muuzaji ameamua awe whole sale au retailer...lakin kwa mcity na kariakoo wote wanapatikana
By the way. Kama una familia nakushauri bidhaa za nafaka pamoja na mafuta na mkaa uwe unanunua jumla, kwa kufanya hivi utapunguza cost zisizokuwa na mpango
Hata mm natamani kujua maana nimekuwa na mm kutaka kusikia kwa wengine waliowahi kununua!Wana jf, Naomba kuuliza, je bidhaa zinazouzwa kwenye Jumia ni original? Mwenye experience ya kununua vitu jumia naomba anifahamishe, Na vipi kuhusu bei zao ni nafuu kulinganisha na madukani, Mfano Kariakoo, Mwenge au Mlimani city
Bro ninejikakamua duh. Ila sio kesihahahahaaaaaaaa, brother umeshusha essay ndeeeefuuuu afu umeingia CHAKA.... wanasema bidhaa za JUMIA sio jumla, uwe makini sana kusoma post kabla ya kuchangia
HahahahhahahahhahahahhahhahahahhahsaahhaUbora hautokani na kununua bidhaa jumla au rejareja unatokana na criteria alizuzitumia manufacturer ili kuunda bidhaa bora
Kununua bidha jumla faida yake ni kupunguza cost kwa mfano ukinunua gunia LA mchele LA kilo 100 kipindi cha msimu Wa mavuno utanunua kwa bei ya chini zaidi na utakuwezesha kupita kwenye vipindi vyote vya price fluctuations ya bidhaa hip
Mlimani city kariakoo na kwengineko wanauza vitu kwa mifumo yote jumla na rejareja ni itategemea na muuzaji ameamua awe whole sale au retailer...lakin kwa mcity na kariakoo wote wanapatikana
By the way. Kama una familia nakushauri bidhaa za nafaka pamoja na mafuta na mkaa uwe unanunua jumla, kwa kufanya hivi utapunguza cost zisizokuwa na mpango
Dah Leo nimejiaibisha kweli yan... HahahHahahahhahahahhahahahhahhahahahhahsaahha
Amna mkuu hujaabika sema spelling zilikuchanganya na upo vizur pia katika kufafanua mambo safi mkuu.Dah Leo nimejiaibisha kweli yan... Hahah
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Acha kukurupuka mwenzio kauliza bidhaa za Jumia sio Jumla
Essay page 6 halafu unakula 0.πππππ asante, umenifurahisha sana mkuu.Ubora hautokani na kununua bidhaa jumla au rejareja unatokana na criteria alizuzitumia manufacturer ili kuunda bidhaa bora
Kununua bidha jumla faida yake ni kupunguza cost kwa mfano ukinunua gunia LA mchele LA kilo 100 kipindi cha msimu Wa mavuno utanunua kwa bei ya chini zaidi na utakuwezesha kupita kwenye vipindi vyote vya price fluctuations ya bidhaa hip
Mlimani city kariakoo na kwengineko wanauza vitu kwa mifumo yote jumla na rejareja ni itategemea na muuzaji ameamua awe whole sale au retailer...lakin kwa mcity na kariakoo wote wanapatikana
By the way. Kama una familia nakushauri bidhaa za nafaka pamoja na mafuta na mkaa uwe unanunua jumla, kwa kufanya hivi utapunguza cost zisizokuwa na mpango
Leo nimegundua kwanini nilifeli form 4Essay page 6 halafu unakula 0.πππππ asante, umenifurahisha sana mkuu.
Uminigusa sana na umenifanya nikumbuke miaka mi2 nyuma ambapo bidhaa nilizonunu ni 3 zenye thamani ya Tsh 400,000+ lakini ndani ya wiki moja tu bidhaa mbili zilikufa!Wana jf, Naomba kuuliza, je bidhaa zinazouzwa kwenye Jumia ni original? Mwenye experience ya kununua vitu jumia naomba anifahamishe, Na vipi kuhusu bei zao ni nafuu kulinganisha na madukani, Mfano Kariakoo, Mwenge au Mlimani city
Mi nimenunua simu mbili na nazitumia hadi sasa na ni muda mrefu sasa bila shida. Pia nna fitness tracker iko poa tu. Ila kuna saa nilinunua zilizingua ndani ya muda mfupi.Uminigusa sana na umenifanya nikumbuke miaka mi2 nyuma ambapo bidhaa nilizonunu ni 3 zenye thamani ya Tsh 400,000+ lakini ndani ya wiki moja tu bidhaa mbili zilikufa!
Nilinunua Simu aina Huawei lakini nilipoipokea baada ya kuweka laini siku zima nikiangaika kupata kupandisha mnara haipandishi! Nikairudisha muda mfupi tu, nikachukua Water Dispenser aina ya Bruhim ilikaa wiki 2 kasoro ikafa upande wa kupozea maji ya baridi ila tu unaponunua wao kama Jumia huwa wanakupa wiki moja kurudisha bidhaa pale Jumia, ikipita wiki moja wanakuelekeza sehemu ambayo imetoka upeleke mwenyewe. kiukweli bidhaa zao sijui ni fake au anaepewa alete mzigo anachakachua ama vipi sijui lakini hazifai ata.
Dah! Sijui kwakweli lakini kwangu kwenye issue ya Simu ilikuja ikiwa mzuri kwa nje bila kuonyesha kama ilitumika lakini laini nilikuwa sijaikata hivo ilinibidi mpaka nipite sehemu za kuikata then nikaiweka lakini nilicho ona ndiyo hicho!Mi nimenunua simu mbili na nazitumia hadi sasa na ni muda mrefu sasa bila shida. Pia nna fitness tracker iko poa tu. Ila kuna saa nilinunua zilizingua ndani ya muda mfupi.
Dah! Sijui kwakweli lakini kwangu kwenye issue ya Simu ilikuja ikiwa mzuri kwa nje bila kuonyesha kama ilitumika lakini laini nilikuwa sijaikata hivo ilinibidi mpaka nipite sehemu za kuikata then nikaiweka lakini nilicho ona ndiyo hicho!
Wanajitahidi kuuza bidhaa bora.
Binafsi nina bidhaa zao mpaka sasa zinafanya kazi vizuri.
Sasa sijui kwa wadau wengine walio wahi nunua bidhaa JUMIA na zikawa hazina ubora. Pengine niseme inategemeana na aina ya bidhaa uliyonunua. Lakini bidhaa zao hazina shida kabisa.